Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Wakati unaandika hili bandiko lako kichwa chako kilikuwa kinawaza kitu gani kuhusiana na victims wa udhalimu uliofanyika katika awamu ya tano?
Hivi Ben Saanane yuko wapi au at least kelele kuhusu serikali kuhisiwa ina mkono wake kuhusiana na kupotea kwake hivi nini kilizuia polisi kufanya uchunguzi na kutoa ripoti kwa umma maana tumewazoea wakiita press kutuonyesha wezi wa kuku na wakwapua simu za mkononi.
T-shirts za GET WELL SOON Tundu Lissu zilikuwa na madhara gani, yaani serikali ilidiriki kuzuia mtu aliyejeruhiwa asiombewe?
Kila aina ya mauaji au utekaji au kujeruhiwa hata ambavyo kwa mbinu za kijasusi serikali ilifanikiwa kuhadaa watu kuwa haikuhusika bali ni opposition parties walifanyiana wenyewe kwa wenyewe kwanini uchunguzi haukufanyika ili mbivu na mbichi zikajulikana.
Kinachoendelea sasa ni watu kuwa huru kuongea yaliyotokea na kwa ambao hawakubaliani nayo then they should tell their side of the story, kitu rahisi kabisa then watu watachambua wenyewe.
Get well soon si mgeenda kumwombea huko Hospitalini,Mbona hamkutengeneza tishrt za Akwilina aliyepigwa Risasi kwenye ujinga wenu Mabibo!?,Unashindwa kujenga ofsi ya Chama chenu mnatengeneza Tishrt za Lissu?