Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Hata pamoja na Daud wa biblia kuomba msamaha kwa Mungu bado alipotaka kujenga hekalu Mungu alikataa kwa kumwambia ana damu ya mtu asiye hatia mikononi. Daud hakumuua kwa mkono wake yule jamaa Ulia lakini hata waliotumwa kutekeleza walipata adhabu ya dhambi ile.H
Huwezi ukamtendea mwenzio ubaya halafu uendekuomba msamaha kwa Mungu. Lazima (yaani ni LAZIMA) Kwanza umuombe msamaha uliyemkosea. Labda kuzini na mke/ mme wa mtu, huwezi kumuombea msamaha uliyemdhulumu maana italeta tafrani zaidi ktk jamii. Hiyo unatubu tu kwa Mungu.
Magufuli alifanya maovu mengi- yeye binafsi au wasaidizi wake hawa kina Sabaya, Makonda etc. Yeye alikuwa kiongozi mkuu anawajibika kwa makosa waliyotenda wengine akayafumbia macho.
Aidha mengine yalitendwa kwa maagizo yake. Hatujawahi kusikia ameomba msamaha.
Nakubaliana na wewe kuwa Hakuna anayedhamiria kumchafua Magufuli, ila kudhani kwamba alitubu makosa yake hilo hapana. Hata kama alijarbu kutubu, alikosea procedure.
Akina Makonda, Sabaya na wengineo mnayo dhambi ile ile hata kama mlitumwa.
Nyie wote ni wauaji pamoja na magufuli wenu. Damu ya akina Mawazo iko mlangoni penu.