Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

Genge mbona mnateseka sana nyie?Si mnywe sumu tu mfe mkapumzike?What Goes around comes around,Hakuna Mkakati wowote ni Matendo yake yanamhukumu,kojoeni mkalale.
 
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.

Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.

Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad assailants lakini yupo huru kurudi nchini na kuishi nchini ndio maana alirudi mwaka 2020 na kugombea ubunge.

Leo hii unafanyika unafiki wa kumchafua hayati JPM? Wananchi wanajua nini kinaendelalea.

Huu ni unafiki
[emoji116]View attachment 2253807
WEWE NDIO MNAFIKI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ndio mumlete dereva aseme ilikuwaje.
Hoja ya kitoto sana hii!! Sometimes tumie utashi wenu kutafakar mambo pale kulikua na CCTV cameras ambazo zina ushahid wote but dormant hawatak kuhoj hilo!!
 
Alimuua nani kwa mkono wake? Weka ushahidi. Lissu na Lema walikimbia lini?

Hata Hitler hakuna ushahidi wa yeye kumuua mtu kwa mkono wake. Wakubwa hutoa oda ya ukatili tu; watekelezaji wapambe na viherehere.

Ni kazi ngumu sana kutetea legasi mbovu, mkuu.
 
Wakati unaandika hili bandiko lako kichwa chako kilikuwa kinawaza kitu gani kuhusiana na victims wa udhalimu uliofanyika katika awamu ya tano? Hivi Ben Saanane yuko wapi au at least kelele kuhusu serikali kuhisiwa ina mkono wake kuhusiana na kupotea kwake hivi nini kilizuia polisi kufanya uchunguzi na kutoa ripoti kwa umma maana tumewazoea wakiita press kutuonyesha wezi wa kuku na wakwapua simu za mkononi.

T-shirts za GET WELL SOON Tundu Lissu zilikuwa na madhara gani, yaani serikali ilidiriki kuzuia mtu aliyejeruhiwa asiombewe?

Kila aina ya mauaji au utekaji au kujeruhiwa hata ambavyo kwa mbinu za kijasusi serikali ilifanikiwa kuhadaa watu kuwa haikuhusika bali ni opposition parties walifanyiana wenyewe kwa wenyewe kwanini uchunguzi haukufanyika ili mbivu na mbichi zikajulikana.

Kinachoendelea sasa ni watu kuwa huru kuongea yaliyotokea na kwa ambao hawakubaliani nayo then they should tell their side of the story, kitu rahisi kabisa then watu watachambua wenyewe.
Mbona wewe hujatekwa na kuuawa ?
 
Mbona wewe hujutekwa na kuuawa ?
Ujinga mwingine kama ni wa kurithi au otherwise it's hard to tell, kwani walitekwa na kuuawa nchi nzima? Hao hao waliotekwa na kuuawa inatosha kupigia kelele udhalimu wa lile shenzi la Kihutu pamoja na washirika wake.
 
Aliyokula ibilisi ni makubwa sana kuliko anayokula wa ulaya. Punguza chuki na jazba kwa mfu hata kama baba yako alitimliwa kwa vyeti fak
Mla ni mla leo mla jana kala nini?! sheitwani linapondeka na kulungula jehanamu, sio chuki ni ukweli usiopingika; nilifutwa kazi kwa cheti feki ndio lakini ni kama niliwekewa mafao nimelipwa kila senti na kurudi kazini, sheitwani linageuzwa majivu na udogo muda huu mimi nakula nchi! Upo hapo Sukumagang? kama umekasirika nenda chato chimba kaburi ulale kwapani mwa sheitwani mwenzio! Nyanoko!
 
Alimuua nani kwa mkono wake? Weka ushahidi. Lissu na Lema walikimbia lini?
Pole,
Una jitihada kubwa za kufunika uovui, kama walivyojitahidi bila mafanikio wale waliokuwa CHAWA wa madikteta/wakandamizaji duniani. Idi Amini, Mobutu,Alliende, Sallazar, Hitler.
 
Wakati unaandika hili bandiko lako kichwa chako kilikuwa kinawaza kitu gani kuhusiana na victims wa udhalimu uliofanyika katika awamu ya tano? Hivi Ben Saanane yuko wapi au at least kelele kuhusu serikali kuhisiwa ina mkono wake kuhusiana na kupotea kwake hivi nini kilizuia polisi kufanya uchunguzi na kutoa ripoti kwa umma maana tumewazoea wakiita press kutuonyesha wezi wa kuku na wakwapua simu za mkononi.

T-shirts za GET WELL SOON Tundu Lissu zilikuwa na madhara gani, yaani serikali ilidiriki kuzuia mtu aliyejeruhiwa asiombewe?

Kila aina ya mauaji au utekaji au kujeruhiwa hata ambavyo kwa mbinu za kijasusi serikali ilifanikiwa kuhadaa watu kuwa haikuhusika bali ni opposition parties walifanyiana wenyewe kwa wenyewe kwanini uchunguzi haukufanyika ili mbivu na mbichi zikajulikana.

Kinachoendelea sasa ni watu kuwa huru kuongea yaliyotokea na kwa ambao hawakubaliani nayo then they should tell their side of the story, kitu rahisi kabisa then watu watachambua wenyewe.
Wakati wa nyerere watu walipotea wakati wa mwinyi watu walipotea wakati wa nkapa watu wakipotea wakati wa kikwete watu walipotea na juna wengine walimwagiwa mpka tindikali kila rais lazima watu wapotee Sema tu wakati huo ninyi mlikuwa watoto wadogo ndo maana mnaona kama mambo mageni. Wakati wa magufuri kulikuwa na uhuru wa vyombo vya habri
 
Wakimbizi wa kisiasa hawajaanza jana muda tu sana kwani hujui late Oscar Kambona alitimkia ughaibuni kwa sababu za kisiasa?

Huwezi kusanitize utawala wa kiimla wa awamu ya 5 sababu inajulikana duniani kote ulikua ni utawala wa aina gani , utawala ulizalisha mauaji,ubaguzi na kila aina ya mgawanyiko.
 
Wakati wa nyerere watu walipotea wakati wa mwinyi watu walipotea wakati wa nkapa watu wakipotea wakati wa kikwete watu walipotea na juna wengine walimwagiwa mpka tindikali kila rais lazima watu wapotee Sema tu wakati huo ninyi mlikuwa watoto wadogo ndo maana mnaona kama mambo mageni. Wakati wa magufuri kulikuwa na uhuru wa vyombo vya habri
Ficha ujinga wako, niko na akili timamu tangu enzi za Mchonga na hakuna kipindi ambacho nchi imeendeshwa kinyama na kuminywa uhuru wa habari kama awamu ya Muhutu.
Awamu za awali ni kwamba tu hakukuwa na technology za sasa ila kwenye upande wa brutality Muhutu alikithiri.
 
Ombeni hivoivo!! nisiwe Rais mie nitakapo gombea nakuipata hiyo nafasi!!! nitafanya uchunguzi wooote walio husika ni ndani tu na kazi ngumu km watanyongwa sawa ila MwenyeMungu anisamehe wanastahil kifo!! kwa ile terrible death!
 
Ww hebu kuwa serious!!!!!wakat wa nani kulikuwa na uhuru wa habari????

Back
Top Bottom