Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

H

Huwezi ukamtendea mwenzio ubaya halafu uendekuomba msamaha kwa Mungu. Lazima (yaani ni LAZIMA) Kwanza umuombe msamaha uliyemkosea. Labda kuzini na mke/ mme wa mtu, huwezi kumuombea msamaha uliyemdhulumu maana italeta tafrani zaidi ktk jamii. Hiyo unatubu tu kwa Mungu.
Magufuli alifanya maovu mengi- yeye binafsi au wasaidizi wake hawa kina Sabaya, Makonda etc. Yeye alikuwa kiongozi mkuu anawajibika kwa makosa waliyotenda wengine akayafumbia macho. Aidha mengine yalitendwa kwa maagizo yake. Hatujawahi kusikia ameomba msamaha.
Nakubaliana na wewe kuwa Hakuna anayedhamiria kumchafua Magufuli, ila kudhani kwamba alitubu makosa yake hilo hapana. Hata kama alijarbu kutubu, alikosea procedure.
Hapa Mungu anaongea ukweli wake wa utaratibu katika kusamehe wanaotubu. 😂😂 Afya ya akili kwa watanzania ni mbaya sana.
 
Msingi wa kwanza wa kupima kiongozi bora ni yule kuheshimu sheria za nchi hasa hasa sheria za uchaguzi, sasa ndugu yako akavuruga uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kiwango cha ajabu, akaja akavuruga uchaguzi mkuu wa kiwango cha hovyo kupata kutokea toka Uhuru...

Achilia mbali aliyoyafanya kwa watu walio na mawazo tofauti, achili ambali kuua sekta binafsi...
Kwa hiyo bora anayevuruga kidogo? Mwizi ni yule aliyeiba mabilion, aliyeiba elfu 10 si mwizi. 😂😂 CHADEMA narudia tena, njaa inawaendesha sana ndo maana mnaona bora aliyevuruga uchaguzi na kuwaachia wabunge 20+ kuliko aliyevuruga uchaguzi na kuwaachia 1 tu.
 
hapa si uchadema, hapa ni kwamba tulikuwa na kiongozi asiyejua mipaka ya mamlaka yake !!
 
Wewe unastahili kuwa kuzimu kama Magufuli mwenyewe, unatia kimyaa na ni janga kwa taifa na aibu kwa familia yako! Na kama ni mcha Mungu umemkosea Sana Mwenyezi Mungu kutamka kitu kama hicho kwa sababu kutokana na udhalimu wa John Pombe Joseph Magufuli uliokithiri ndio maana Mungu akaingilia kati kuamua Ugomvi ili kutunusuru waja wake na bahari itulie! Naam na kweli ndicho tunachokishuhudia sasa, Bahari imetulia, wasiojulikana walizikwa na baba yao wanubatizo Chato, hakuna kutekana Tena, kukwapua pesa za watu kwenye mabenki hakuna, kesi za uchochezi, ugaidi na kutakatisha pesa hakuna, TRA ni taasisi rafiki kwa wafanya biashara, hatuogopi kutumia mitandao ya kijamii, nchi imefunguka, watalii wamerudi nk. Duh Mungu atupe Nini walahi! Itoshe tu kusema Asante Mama SSH na kazi iendelee!
Siyo kuzimu km magufuli tu, mwambie kama ndg zako waliotangulia pia. Akili zako ni za kifala sana, we na wapiga risasi kwa lissu mko sawa tu maana mnataka asiyewafurahisha afe.
 
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.

Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.

Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad assailants lakini yupo huru kurudi nchini na kuishi nchini ndio maana alirudi mwaka 2020 na kugombea ubunge.

Leo hii unafanyika unafiki wa kumchafua hayati JPM? Wananchi wanajua nini kinaendelalea.

Huu ni unafiki
[emoji116]View attachment 2253807
FB_IMG_1652379712226.jpg
 
Hii nguvu ya kutetea wauaji mnatoa wapi….?
We ulikimbilia wapi hadi leo unaishi? Jamaa limeua mkewe kwa kumsaliti km jpm aliua wasaliti wa taifa alikuwa sawa tu japo sina uhakka na mauaji km aliyafanya maana wanasiasa mnarogana na kusingizia wengine wanaowazid ushawishi.
 
Kama tulivyo na m/kiti asiye na kikomo cha kukalia kiti.
GAIDI ambaye anatoka gelezani moja kwa moja kwenda state House kuonana na Mkuu wa nchi. Ushaishuhudia pahala popote duniani
 
GAIDI ambaye anatoka gelezani moja kwa moja kwenda state House kuonana na Mkuu wa nchi. Ushaishuhudia pahala popote duniani
Nimeiona bongo tu kwa watu wasio na Afya ya akili.
 
Wakati unaandika hili bandiko lako kichwa chako kilikuwa kinawaza kitu gani kuhusiana na victims wa udhalimu uliofanyika katika awamu ya tano? Hivi Ben Saanane yuko wapi au at least kelele kuhusu serikali kuhisiwa ina mkono wake kuhusiana na kupotea kwake hivi nini kilizuia polisi kufanya uchunguzi na kutoa ripoti kwa umma maana tumewazoea wakiita press kutuonyesha wezi wa kuku na wakwapua simu za mkononi.
T-shirts za GET WELL SOON Tundu Lissu zilikuwa na madhara gani, yaani serikali ilidiriki kuzuia mtu aliyejeruhiwa asiombewe?
Kila aina ya mauaji au utekaji au kujeruhiwa hata ambavyo kwa mbinu za kijasusi serikali ilifanikiwa kuhadaa watu kuwa haikuhusika bali ni opposition parties walifanyiana wenyewe kwa wenyewe kwanini uchunguzi haukufanyika ili mbivu na mbichi zikajulikana.
Kinachoendelea sasa ni watu kuwa huru kuongea yaliyotokea na kwa ambao hawakubaliani nayo then they should tell their side of the story, kitu rahisi kabisa then watu watachambua wenyewe.
Kuna pande mbili za shilingi Kwa mleta mada inwezekana kabisa naye yamemkuta, lakini nitakuwa nahisi(speculate?)kudai two wrongs make a right- kwa yaliomtokea. Kwa wote waliopotea, kwa wale wanaosadidika kuuwawa, kwa walioumizwa na wengine waliokufa kwa sababu mbalimbali, wote ni victims wa sintofahamu zilizoikumba Taifa letu.

Kuna wenye ushahidi, labda kuna mashaidi, haijalishi, lazima kuna ukweli pahali. Lakini hakuna katika yote haya yasiyokuwa na yalioshushwa uzito. wake hata pale mleta mada alipodai hakukuwa na wakimbizi wa kisiasa wakati wa Hayat J.P.M sijawahi sikia kuna wakimbizi wa kisiasa- nimesikia kesi za kubambikiana(kuna ambazo zilikuwepo na kesi zingine zipo mahakamani) ...mahakama ndizo zenye mamlaka za uamuzi- na nipo tayari kusahihishwa- lakini hapa jamiiforums, hoja kwa hoja na sio mihemuko yenye jazba hasi na matusi.

Kweli watu "...wachambue wenyewe.." lakini hawawezi kuja kuchambua matusi.

Amani ikufikie
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Sasa mbona ulizimia na mfuko mkononi ?

View attachment 2254337
VIGOGO wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameingizwa ndani ya kashfa ya kutumia madaraka na ofisi za chama hicho vibaya. RAI lina taarifa kamili.

Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu na mmoja wa wakurugenzi wa chama hicho anayeshughulikia masuala ya Bunge (jina tunalihifadhi), wanadaiwa kuomba rushwa kwa baadhi ya makada wa chama hicho ili wawasaidie kupata nafasi ya ubunge wa jimbo na ile ya viti maalumu wakati na hata baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.

Tayari tuhuma hizo zimeshawasilishwa kwenye Kamati Kuu ya chama hicho na inayotarajiwa kukutana wakati wowote kuanzia sasa.

Mwalimu anatajwa kufanya hivyo katika kipindi alichokuwa akikaimu nafasi ya Ukatibu Mkuu, ambapo anadaiwa kuwaomba rushwa baadhi ya makada wao waliokuwa wakitaka ridhaa ya chama ya kuwania ubunge.

Wakati Mwalimu akipewa tuhuma hizo, mwenzake anadaiwa kuwaomba rushwa baadhi ya makada wa kike wa chama hicho ili awasaidie kupata nafasi ya ubunge wa viti maalumu.

Taarifa kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu waliokutana Machi mwaka huu, jiji Dar es Salaam kabla ya kwenda jijini Mwanza kwenye kikao cha Baraza Kuu, zililiambia RAI kwamba Mwalimu anadaiwa kufanya hivyo kwa nia ya kujinufaisha.

Tuhuma hizo zilifikishwa mbele ya Kamati Kuu ya Chadema na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’.

Ilidaiwa kuwa Mwalimu aliomba kiasi cha Sh. Milioni 10 kwa Mbunge wa jimbo la Ndanda, Cesil Mwambe.

RAI lilimtafuta Mwambe kuzungumzia suala hili, hata hivyo hakukubali wala kukataa, lakini zipo taarifa zisizo na shaka zinazothibitisha mbunge huyo kuwasilisha madai yake kwa maandishi ikiwa ni sehemu ya kiambatanisho kwenye madai ya Mbilinyi.

Kiambatanisho hicho cha ushahidi kinaonyesha namna ambavyo Mwalimu, alitoa maelekezo ya kuwazuia viongozi wa Chadema kumnyima ushirikiano Mwambe, kutokana na kukaidi ombi lake.
 
Ulitegemea gazeti la Rostam Aziz liandike kitu tofauti na hiki? Sisi furaha yetu ni kuwa dhalim mwendazake yupo motoni na yeye ndiye kuni za kuwachomea waovu wenzake
 
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.

Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.

Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad assailants lakini yupo huru kurudi nchini na kuishi nchini ndio maana alirudi mwaka 2020 na kugombea ubunge.

Leo hii unafanyika unafiki wa kumchafua hayati JPM? Wananchi wanajua nini kinaendelalea.

Huu ni unafiki
👇View attachment 2253807
"Mkurugenzi ninakupa mshahara na usafiri halafu umtangaze mpinzani" "Nileteeeeeni Gwajimaaaaaaa"
 
Back
Top Bottom