Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

Mkuu hawa vyeti feki niwakuwahurumia tu,wanamahasira sana na jembe Magu.
Magu alikatiza ndotozao za kuwini maisha kiujanjaujanja hawata sahau milele,tegemea kusikia maneno ya chuki na hasira kali kwamuda mrefu lakini ukweli unajulikana.
Mimi nilimchukia Magu kwa siasa zake za kishenzi za kuhasimiana,hayo ya vyeti feke unayajua wewe kwani sijawahi kuajiriwa na Serikali sasa hiyo wala hainihusu. Ile nyie vibaraka wake ndiyo mnasababisha atukanwe kutwa kucha mnajaza nyuzi za kumsifia
 
Hata wewe utamsifu tu niswala la muda.
Amini usiamini Magu alikuwa akili kubwa, subiri miradi yotealiyo ianzisha mama akiimaliza ndio utaelewa.
Hizo propaganda za kuteka sijui kuuwa nizamudatu.
Miaka ya nyumba wapinzani walikuwa wana lamba asali pamoja na wenye mamlaka,Magu akaja kuondoa huo ujinga ndio mana sasaivi unaona wanaungana kulamba tena na kinacho fuata nikusifia tu.

Jiulize kwenye ishu ya wanyama kusafirishwa nnje kiongozi gani wa upinzani amenyanyua mdomo kulaani.
Laana ya kumtukana mtu aliejitoa kwa ajili yenu itawatafuna tu.
 
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.

Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.

Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad assailants lakini yupo huru kurudi nchini na kuishi nchini ndio maana alirudi mwaka 2020 na kugombea ubunge.

Leo hii unafanyika unafiki wa kumchafua hayati JPM? Wananchi wanajua nini kinaendelalea.

Huu ni unafiki
👇View attachment 2253807
Unafanya kazi ngumu sana mkuu, kumbuka watu wanao ushahidi wa aina mbalimbali wenye kuihusu hii hoja iliyoiandikia uzi.
 
Wakati unaandika hili bandiko lako kichwa chako kilikuwa kinawaza kitu gani kuhusiana na victims wa udhalimu uliofanyika katika awamu ya tano? Hivi Ben Saanane yuko wapi au at least kelele kuhusu serikali kuhisiwa ina mkono wake kuhusiana na kupotea kwake hivi nini kilizuia polisi kufanya uchunguzi na kutoa ripoti kwa umma maana tumewazoea wakiita press kutuonyesha wezi wa kuku na wakwapua simu za mkononi.
T-shirts za GET WELL SOON Tundu Lissu zilikuwa na madhara gani, yaani serikali ilidiriki kuzuia mtu aliyejeruhiwa asiombewe?
Kila aina ya mauaji au utekaji au kujeruhiwa hata ambavyo kwa mbinu za kijasusi serikali ilifanikiwa kuhadaa watu kuwa haikuhusika bali ni opposition parties walifanyiana wenyewe kwa wenyewe kwanini uchunguzi haukufanyika ili mbivu na mbichi zikajulikana.
Kinachoendelea sasa ni watu kuwa huru kuongea yaliyotokea na kwa ambao hawakubaliani nayo then they should tell their side of the story, kitu rahisi kabisa then watu watachambua wenyewe.
Nimemwambia kuwa anafanya kazi ngumu sana ya kujenga hoja ya aina hii. Ushahidi wa kuipinga hoja ni mwingi sana.
 
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.

Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.

Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad assailants lakini yupo huru kurudi nchini na kuishi nchini ndio maana alirudi mwaka 2020 na kugombea ubunge.

Leo hii unafanyika unafiki wa kumchafua hayati JPM? Wananchi wanajua nini kinaendelalea.

Huu ni unafiki
[emoji116]View attachment 2253807
Huyo waziri mwenyewe ni mtumbuliwa wa JPM.
Hatuwezi tarajia chochote zaidi ya kupigiana Promo.

Sawa tu na yule mtumbuliwa Mwijage mwingine kule bungeni anavyotoa michango ya kupongezana na Makamba.

Hata mtumbuliwa mwingine Yule Muhongo wote ukisikiliza michango yao utawaelewa wazi kuwa wanachangia huku wanejawa na vinyongo tupu.
 
Ushauri:Wito
Kama unakuja kutukana jamii, familia ya Hayati Raisi J.P.M kwa visingizio visivyo na miguu wala mkono, Tafadhali muache.

Hakuna sababu yeyote ya msingi ya kuendelea kunitukana au kuwatukana wanahudhuri wowote hapa Jamiiforums.

Ukishindwa hoja, fungua uzi wako nenda ukatukane utakavyo kwa aina yeyote ile lakini mjisitiri kutukana Jamii, familia za wote walioguswa kwa namna moja au nyingine na shutuma, aidha za kuhisi, kukariri, au za uongo, ili mradi tu "unahisi" "unafikiri" ni haki yenu. Mjue kuna kikomo.

Jibu hoja kama ipo na kama hakuna sema/ andika hakuna hoja. Foolstop.

Sipendi, sitaki kutukanana na yeyote humu na kwa miaka Karibu 15 nimo humu Jamiiforums hutanikuta nikijibishana kwa 'matusi'.

Msinijaribu. Tafadhali Tafadhali.

Amani iwafikie na muendelee kubarikiwa.
 
Nimemwambia kuwa anafanya kazi ngumu sana ya kujenga hoja ya aina hii. Ushahidi wa kuipinga hoja ni mwingi sana.
Kweli Mkuu.
Hakuna sababu za matusi. Sijui Taifa letu litaishia wapi. Haya matusi ni kelele tu za kuficha ukweli. Hoja kwa hoja.

Kuna 'disinformation' lukuki na ni hatari kwa afya ya Jamii.

Tulaani panapostahili, na sio kwa matusi.

Amani ikufikie mkuu
 
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.

Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.

Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad assailants lakini yupo huru kurudi nchini na kuishi nchini ndio maana alirudi mwaka 2020 na kugombea ubunge.

Leo hii unafanyika unafiki wa kumchafua hayati JPM? Wananchi wanajua nini kinaendelalea.

Huu ni unafiki
[emoji116]View attachment 2253807
Unafiki upi wakati kina azroy, saa nane,mawazo hatunao
 
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.

Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.

Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad assailants lakini yupo huru kurudi nchini na kuishi nchini ndio maana alirudi mwaka 2020 na kugombea ubunge.

Leo hii unafanyika unafiki wa kumchafua hayati JPM? Wananchi wanajua nini kinaendelalea.

Huu ni unafiki
👇View attachment 2253807
Kwa mitazamo Yako na wote inayofanana na Chelsea kusema ndio mliokuwa mkitekeleza mipango yote ovu ya kuwaumiza wapinzani ila Kwa uweza wa Mungu mpango wenu iliangukia pua vibaya mno🤔
 
Hawa wanaoleta mada kama huzi, kutetea udhalimu wa marehemu, uwezekano mkubwa hawa ndio walikuwa mikono aliyoitymia marehemu kudhuru watu.

Na hawa kwa kumtumikia mwovu, hawatanyimwa ujira wao kwa wakati ufaao, kwa kadiri ya mapenzi ya Muumba wetu.

Tutende haki, uovu na udhalimu ni ushetani.
Hakuna udhalimu wowote, hizo ni siasa za kutaka kupata ugali kwa mama kwa mgongo wa Magufuli.
 
Tukishasema sana lakini hamuelewi kitu.
Mkuu Nyankurungu,
Usiwajibu kwa watakayo, yaani matusi, na sio lazima ya kuwalazimisha kuelewa. Wanaelewa, tatizo ni kuwa wanavinyongo, walihudhurika kwa namna moja au nyingine, au wanahuzunika lakini hawana njia ya kuhuzunika kwa njia chanya.
Kuna uhasama hasi. Usibomoe akili yako.

Watashindwa.

Amani ikufikie. Kazi iendelee.
 
Ukweli ni kuwa hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wake​

Toa taka taka zako hapa jamaa makonda na saabaya waliyoyatenda enzi za mwendazake unadhani walikuwa sahihi
Hata sisi watanzania kuuziwa mafuta bei ghali tofauti na zanzibar haiko sahihi. Huu ni ukanda kabisa maana ni watanzania wote lkin kwao bei iko chini sana kuliko huku. Yeye ni rais wa Jamhuri ya muungano wa tz msituambie zanzibar kuna rais wao wakt hata kimataifa hajulikan
 
Ingekuwa wewe Ni Lissu unelimwa zile risasi halafu mtu yeyote asikamatwe ungebaki nchini?
Alirudi kufanya nini 2020? Alijua mlicheza mchezo flani ndani ya chama tu hakukuwa na hatari yyte.
 
Hata wewe utamsifu tu niswala la muda.
Amini usiamini Magu alikuwa akili kubwa, subiri miradi yotealiyo ianzisha mama akiimaliza ndio utaelewa.
Hizo propaganda za kuteka sijui kuuwa nizamudatu.
Miaka ya nyumba wapinzani walikuwa wana lamba asali pamoja na wenye mamlaka,Magu akaja kuondoa huo ujinga ndio mana sasaivi unaona wanaungana kulamba tena na kinacho fuata nikusifia tu.

Jiulize kwenye ishu ya wanyama kusafirishwa nnje kiongozi gani wa upinzani amenyanyua mdomo kulaani.
Laana ya kumtukana mtu aliejitoa kwa ajili yenu itawatafuna tu.
Huyo mwendawazimu alipoongoza wizi wa kura na kujaza vilaza Bungeni ulitaka hao wapinzani wasemee wapi na aliwapora jukwaa la kusemea? Bunge ndiyo lenye jukumu la kuisimamia Serikali,sasa kwa Bunge hili la kijani tupu unaona Lina uwezo huo ilhali muda mwingi wapo kusifia na kujadili mambo ya ngono na magovi ya watu?
 
Jiwe aliruhusu kuua, kupoteza, kutisha, kupandikiza kesi, kupindisha sheria, kuharibu chaguzi zote - yaani kifupi jamaa hakufaa kuwa kiongozi wa nchi. Angeendelea miaka mingine 10 kama wafuasi wake walivyotaka basi nchi ingekuwa afadhali ya Somalia.

Kauli hii ya Serikali inatia moyo, ingawa bado ni giza nene waliotaka kumtoa roho Lissu.
Akili km zako mlistahili ya jpm. Maana mnaendesheka sana mbona mi5 haikutufanya km somalia au unatumia kipimo gani kujua 10 ingekuwa km ya somalia? Nikiingia CHADEMA mi ndo ntakuwa na akili kuliko wote walioko mle. Yule jamaa alikuja anachechemea kiasi kwamba hawez hata kuikwepa risasi akapiga kampeni na kumaliza kila kitu na kurudi alikoona kuna kuonewa huruma leo mnasema ni mkimbizi wa kisiasa!!
 
Msingi wa kwanza wa kupima kiongozi bora ni yule kuheshimu sheria za nchi hasa hasa sheria za uchaguzi, sasa ndugu yako akavuruga uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kiwango cha ajabu, akaja akavuruga uchaguzi mkuu wa kiwango cha hovyo kupata kutokea toka Uhuru...

Achilia mbali aliyoyafanya kwa watu walio na mawazo tofauti, achili ambali kuua sekta binafsi...
 
Back
Top Bottom