Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.
Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.
Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad assailants lakini yupo huru kurudi nchini na kuishi nchini ndio maana alirudi mwaka 2020 na kugombea ubunge.
Leo hii unafanyika unafiki wa kumchafua hayati JPM? Wanannchi wanajua nini kinaendelalea.
Huu ni unafiki
[emoji116]
View attachment 2253807