Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

Ujinga mwingine kama ni wa kurithi au otherwise it's hard to tell, kwani walitekwa na kuuawa nchi nzima? Hao hao waliotekwa na kuuawa inatosha kupigia kelele udhalimu wa lile shenzi la Kihutu pamoja na washirika wake.
Sasa unampigia kelele nani ? Kajinyonge.
 
Mla ni mla leo mla jana kala nini?! sheitwani linapondeka na kulungula jehanamu, sio chuki ni ukweli usiopingika; nilifutwa kazi kwa cheti feki ndio lakini ni kama niliwekewa mafao nimelipwa kila senti na kurudi kazini, sheitwani linageuzwa majivu na udogo muda huu mimi nakula nchi! Upo hapo Sukumagang? kama umekasirika nenda chato chimba kaburi ulale kwapani mwa sheitwani mwenzio! Nyanoko!
Wewe siyo Mungu utapata dhambi bure nyumbu wewe. Usiingilie kazi ya Muumba yeye ndio anajua ni wapi alimpeleka mtu wake.
 
Pole,
Una jitihada kubwa za kufunika uovui, kama walivyojitahidi bila mafanikio wale waliokuwa CHAWA wa madikteta/wakandamizaji duniani. Idi Amini, Mobutu,Alliende, Sallazar, Hitler.
Mbona hukufunua mdomo wakati muhusika akiwa hai ? Pole kwa kupigwa cheti fake
 
Wakimbizi wa kisiasa hawajaanza jana muda tu sana kwani hujui late Oscar Kambona alitimkia ughaibuni kwa sababu za kisiasa?

Huwezi kusanitize utawala wa kiimla wa awamu ya 5 sababu inajulikana duniani kote ulikua ni utawala wa aina gani , utawala ulizalisha mauaji,ubaguzi na kila aina ya mgawanyiko.
Kwa sababu mlibanwa kwenye ufisadi ? Haya Magufuri kaondoka tuone sasa kama Nyumbu mtaingia Ikulu.
 
Ombeni hivoivo!! nisiwe Rais mie nitakapo gombea nakuipata hiyo nafasi!!! nitafanya uchunguzi wooote walio husika ni ndani tu na kazi ngumu km watanyongwa sawa ila MwenyeMungu anisamehe wanastahil kifo!! kwa ile terrible death!
Ndoto za alinacha. Nani akupe ikulu weye nyumbu.
 
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.

Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.

Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad assailants lakini yupo huru kurudi nchini na kuishi nchini ndio maana alirudi mwaka 2020 na kugombea urais wa JMT.

Leo hii unafanyika unafiki wa kumchafua hayati JPM? Wananchi wanajua nini kinaendelalea.

Huu ni unafiki
[emoji116]View attachment 2253807
Magufuli alikuwa muuaji naomba usitukumbushe kabisa.
Jamaa alikuwa shetani mkubwa. Lilikuwa jini toka chato.
 
Hata wewe utamsifu tu niswala la muda.
Amini usiamini Magu alikuwa akili kubwa, subiri miradi yotealiyo ianzisha mama akiimaliza ndio utaelewa.
Hizo propaganda za kuteka sijui kuuwa nizamudatu.
Miaka ya nyumba wapinzani walikuwa wana lamba asali pamoja na wenye mamlaka,Magu akaja kuondoa huo ujinga ndio mana sasaivi unaona wanaungana kulamba tena na kinacho fuata nikusifia tu.

Jiulize kwenye ishu ya wanyama kusafirishwa nnje kiongozi gani wa upinzani amenyanyua mdomo kulaani.
Laana ya kumtukana mtu aliejitoa kwa ajili yenu itawatafuna tu.
Kuna ubaya gani wanyama kusfirishwa njee ikiwa wamenunuliwa na taratibu kufuatwa?
 
Hamna anaweza mchafua marehemu ili wapate nn? Wala wafaidike Nini? Magufuli Alisha pita ila truth to be told kila mtu Ana azuri na mabaya magufuli Kuna mazuri Aliya fanya ila baya ambalo na amini nae aliomba msamaha kwa mungu kabla yakuaga Dunia ni kuleta tension na mkanganyiko wa kisiasa ndani ya nchi... Magufuli Ali pioneer ikaanza kuonekana kama wapinzani sio wa tanzania wala Hawana haki za kusema wanachojisikia kwa utashi wao.... That was so bad of him
Wanaomsafisha marehemu wanataka nini??
 
Ulikuwepo wakati anatubu kwa Mungu? Kwa kiburi kile asingetubu aisee.
 
Lazima tukubali Kuna mazuri yalifanyika na mabaya yalifanyika kwenye utawala wa Magufuli.
Hakuna kitu kinaweza fidia uhai wa mtu. Hakuna jengo lolote zuri wala barabara au daraja vinaweza linganishwa na uhai wetu. Kama magufuli alijenga sgr ili apoke maisha ya watu, basi na apotee nayo motoni. Babake Ben analia hata leo. Nadhani hata wamjengee lami hadi chooni uhai wa mwanae utabaki ni namba moja.
Magufuli alikuwa ni zawadi ya uovu tuliyopewa.
 
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.

Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.

Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad assailants lakini yupo huru kurudi nchini na kuishi nchini ndio maana alirudi mwaka 2020 na kugombea urais wa JMT.

Leo hii unafanyika unafiki wa kumchafua hayati JPM? Wananchi wanajua nini kinaendelalea.

Huu ni unafiki
👇View attachment 2253807
Kama Magufuli angeendelea kuwapo angewaua viongozi wote wa CHADEMA kama ambavyo Paul Kagame anavyowaua wabaya wake.

Kuondoka kwa Tundu Lissu kupitia Germany embassy, Mbowe kukimbilia Dubai na Godbless Lema kupitia Namanga na kukamatwa Kajiado Kenya ni kwamba Waliepusha maisha yao baada ya Magufuli kutaka kuwapoteza mazima. Na hii ilikuwa immediately baada ya Lissu kupinga ushindi wa Magufuli wa 2020 na kuitisha maandamano. DIKTETA Magufuli alikuwa ni KICHAA, angewaua. Ni bora walikimbia
 
Hata Sabaya anasingiziwa kesi za ujambazi aliokuwa akifanya kwa baraka za mwendakuzimu.

Dc wa Hai anaruhusiwa kufanya ujambazi nchi nzima na vyombo vya dola vipo.

Nikimkuta peponi huyu ibilisi naghairi kuingia itakuwa motoni ndio kuzuri zaidi.

Isitoshe Mungu akiwasamehe majambazi kama hawa wa awamu ya tano hakika hakuna binadamu atakwenda moto
Hii statement umekufuru, jirudi, uwezo wa Allah/Mungu muumba haufanani na wa wako,
Kaka hivi unajua adhabu za motoni ndugu?kias kwamba uazimie kuwa utagairi simply kwa ajili ya mwanasiasa, jifunze kujali nakupatliza mambo yako zaidi umefankiwa.
Hata chai ya moto huwezi kuinywa halafu unapga hesab za kugairi pepo na kuingia motoni
 
Back
Top Bottom