Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Legacy ya kuumiza watu!!!Legacy iko chini ya mashambulizi makali kama Ukraine aisee,walioumizwa,tishiwa lazima waseme maana aliyewaminya kafa. Nanyi mliokuwa mnakula pepo zama hizo kazeni buti kutetea legacy, the truth shall set us free.
Alafu kuna watu wanatetea huo uovuMzee baba aliharibu sana
Ameshafungwa kwa kesi gani gani?Hata Sabaya anasingiziwa kesi za ujambazi aliokuwa akifanya kwa baraka za mwendakuzimu.
Dc wa Hai anaruhusiwa kufanya ujambazi nchi nzima na vyombo vya dola vipo.
Nikimkuta peponi huyu ibilisi naghairi kuingia itakuwa motoni ndio kuzuri zaidi.
Isitoshe Mungu akiwasamehe majambazi kama hawa wa awamu ya tano hakika hakuna binadamu atakwenda motoni
Tanzania kwa mara ya kwanza ilitawaliwa na shetani, hatuwezi kumsahau.Khaa!! Mnamkumbuka Sana
Walitumika sn kuua watu enzi ya diktetaHawa wanaoleta mada kama huzi, kutetea udhalimu wa marehemu, uwezekano mkubwa hawa ndio walikuwa mikono aliyoitymia marehemu kudhuru watu.
Na hawa kwa kumtumikia mwovu, hawatanyimwa ujira wao kwa wakati ufaao, kwa kadiri ya mapenzi ya Muumba wetu.
Tutende haki, uovu na udhalimu ni ushetani.
assailants ndo watu gani hawa. Si useme tu jpm alitaka kummaliza kwa kumshindilia hayo masasai. Kwani ulisema ndo usukuma gang wako utapotea.Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.
Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.
Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad assailants lakini yupo huru kurudi nchini na kuishi nchini ndio maana alirudi mwaka 2020 na kugombea ubunge.
Leo hii unafanyika unafiki wa kumchafua hayati JPM? Wanannchi wanajua nini kinaendelalea.
Huu ni unafiki
๐View attachment 2253807
Utalia uchoke lakini huu mziki hautazima kamwe! Life is how you make it yourself!Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.