Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Umeanza vizuri ndugu P, ila umekuja kuharibu hapo kwenye "wanawake wa Mbeya sio wachoyo". Jiji la Mbeya lina mkusanyiko wa wanawake kutoka mikoa mbalimbali.
Mi nadhani hali ya hewa ya baridi ndio hufanya wanawake wengi wa huko kutokuwa "wachoyo".
 
Embu toa upuuzi mbeya gani ni nzuri??mafiati au?
 
Umeanza vizuri ndugu P, ila umekuja kuharibu hapo kwenye "wanawake wa Mbeya sio wachoyo". Jiji la Mbeya lina mkusanyiko wa wanawake kutoka mikoa mbalimbali.
Mi nadhani hali ya hewa ya baridi ndio hufanya wanawake wengi wa huko kutokuwa "wachoyo".
Kuna mahali kuna baridi kuliko Mufindi, Makambako, Katesh, Ilboru, Marangu?, mbona wale sio wamama huruma?.
P
 
Sasa baba bulubendi hapo makalio yameingiaje!!🀣🀣
 
Uzuri wa Mbeya ni hali ya hewa nzuri
Wanyaki ndugu zangu punguzeni dharau, ukabila,choyo,wivu na kuwapelekea maboss zenu umbea Ili mpendwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…