Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Wadau, tunasema JamiiForums ni mahala pa Great Thinkers.
Aliyeanzisha thread ChoiceVariable ameuzungumzia mkoa wa Mbeya kwa hoja na kuweka picha lukuki zinazoonesha baadhi ya vivutio vinavyopatikana huko.
Na amefanya hivyo pasi na kudhihaki mkoa mwingine wowote.
Ingependeza zaidi kama majadiliano yangekuwa ya hoja kujibiwa na hoja. Na sio mtu kumdhihaki mtu, eneo au kabila lake.
Ni hayo tu, naamini katika great thinkers na great thinking.
 
Pascal Mayalla ni mnafiki. Nchi hii hakuna wanawake Malaya Kama wanawake wa Kanda ya ziwa
Heshima kitu cha bure, heshimu wanawake ni Mama zetu, wake zetu na wanetu, usiwaite majina ya ajabu ajabu kama malay. , wanawake malay. , ni wale wanaofanya biashara ya ile kitu!. Usiwachanganye Wasukuma, Wahaya, Wakerewe, Wakara, na Wajita. Wanawake wa Kisukuma hawafanyi biashara hiyo!. Wanawake wa Mbeya hawafanyi biashara hiyo ila wana roho nzuri tuu ya kutokuwa wachoyo!.
P
 
Nafikiri muunganiko wa hali nzuri ya hewa na gharama ndogo za maisha vinafanya mwanamke yeyote yule anayeishi Mbeya, awe mwenyeji au mgeni kutokuwa "mchoyo".
Hata wanyama huzaliana sana mahala penye amani na chakula kingi.
Kwako ndugu Pascal Mayalla
Naunga mkono hoja, Mbeya ni kama Bukoba, roho nzuri!. Mbona Moshi wana hali nzuri lakini roho mbaya?. Mbona Mikoa ya Pwani, Kusini, Singida na Dodoma hali ngumu na wana roho nzuri?.
P
 
Uhindini kna nn Sasa Bora na isyesye yaan ukisikia jina utakurupka fika Sasa uoneshwe hapa Ndo uhindini utachoka mwili akili na roho
Uhindini kuna nini na uyole kuna nini labda unahitaji kipi zaidi kwenye maeneo mengine tukuambie
Nl
 
Karibuni mle maparachichi, mbatata, kifuge na kisyesye, hivi nani yupo halimashauri ya busokero humu?
 
Angalia orodha ya majiji mbeya imepigwa Buti kitambo mno unapambana na Tanga huko
Mbeya pana uzuri wake,huwezi kupa down grade moja kwa moja,shida ni watu wake wanavopasifia sanaaaa,..hii ndiyo hufanya mtu ambaye hajawahi fika mbeya kabisa,anatamani siku moja afike...akisha fika mkiwa mjini katikati ( yaweza kuwa uhindini,mwanjelwa,sido,kabwe nk) mgeni wako atakuuliza "mjini ni wapi?".. wewe utamjibu "hapa ndiyo mjini", basi utamuona mgeni wako akikata tamaa kabisa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Uhindini kuna nini na uyole kuna nini labda unahitaji kipi zaidi kwenye maeneo mengine tukuambie

Kwahiyo Uhindini ndio mjini kwenu?

Boss Niko Mbeya tokea 2014.
Mbeya kifupi hakuna chochote ni mara mia na home Dar.

Boraa Tunduma Kuna hela ila sio Mbeya.

#YNWA
 
huyu raia naomba aulizwe kama amewahi kifika morogoro, dar es salaam mwanza na arusha
 
Hizo picha za barabara unazoweka humu ni za zamani nadhani 2014, sasa hivi barabara zote za mjini ni mashimo kwa mahandaki makubwa makubwa..

Mtoa mada unadanganya kwa faida ya nani?kwanini usirushe hali halisi ya barabara za sasa ili hata serikali ione aibu iliyopo Mbeya upande wa barabara?

Umefikia hatua umerusha hadi picha za msitu wa sao hill uliopo Iringa unadanganya kuwa ni Mbeya,lengo lako nini?

Unasema Mbeya ni mkoa wa pili kwa idadi ya mabasi yanayofanya safari zake kutoka Mbeya kwenda wapi sijui...sina takwimu siwezi kukupinga ila kama ni mabasi yaendayo Dar ( kama ulimaanisha hayo) ni machache sana.labda kama ulimaanisha hadi yale ya akina super rojas,mwendamseke,zanuni,fire, yote mafuso ya injini nyuma ambayo maeneo mengine ni daladala hizo wala siyo gari za route ndefu tena hizo.

Watu wamekuhisi humu kuwa una ushamba flani hivi utakuwa hujatembea maeneo mengine,nami naona ni kweli...nenda Mwanza uone basi za route fupi za Mwanza-Musoma, Mwanza-Tarime-Sirari, Musoma-Bukoba, Tabora,Kahama uone vyuma vinavyofanya safari zake huko,huwezi kuja kutuletea akina super rojas utaona aibu. Hapo hujagusa basi zinazofanya route za kutoka kote huko kwenda Dar,Dodoma,Arusha.

Ardhi imebarikiwa sana,yaweza kuwa kweli, ila kwa maoni yangu,ardhi iliyobarikiwa ni ambayo ukipanda mazao hata bila kuweka mbolea,inakupa products nzuri tu,Mbeya hata mchicha bila UREA hupati kitu,mahindi ndiyo lazima uweke DAP kupandia,UREA kukuzia, SA na CAN kunenepesha punje, baraka za hiyo Ardhi ziko wapi? Wakati kuna maeneo Nyandoto Tarime huko watu wanavuna vizuri tu bila kuweka mbolea na wanalima mara mbili kwa mwaka wakati Mbeya ni mara moja kwa mwaka.

Mbeya ni pazuri ila sisi wana Mbeya tunapakuza sanaa kuliko uhalisia wake

Shukrani mkuu huyo kanjanja anajiona anaijua na kuimiliki Mbeya tunamcheka kwa dharau sana, mchana nilitaka ajae aka back off nikampotezea.
 
Sidhani Kama unaelewa unachoongea.
Kama huko Tarime wanavuna vizuri bila hata kuweka mbolea je wanaizid Mbeya Kwa upatikanaji wa chakula?

Mbeya hasa Mbarali huko tunalima mara moja Kwa mwaka na tunavuna vizuri bila hata mbolea.
 
Ewaaa unaongea point Hadi Raha nakuwa namcheki jamaa anademka hovyo sana nafikiria hivi hata MWANZA ianze kupost magari ya mikoan,wilayani na nje ya nchi tutaonekanaje mm naona ni ujinga ambao yeye anaita elimu
 
Shukrani mkuu huyo kanjanja anajiona anaijua na kuimiliki Mbeya tunamcheka kwa dharau sana, mchana nilitaka ajae aka back off nikampotezea.
Mm ajae TU hyo pimbi anapost barabara ya TANZAM vipande vipande halafu ni kipindi imejengwa🤣 pia bro mbeya lift wamezindua 2014 na walitamba balaa cheki hapa
Screenshot_20230328-073012~2.jpg
Screenshot_20230328-073033~2.jpg

Shukrani mkuu huyo kanjanja anajiona anaijua na kuimiliki Mbeya tunamcheka kwa dharau sana, mchana nilitaka ajae aka back off nikampotezea.
 
Sidhani Kama unaelewa unachoongea.
Kama huko Tarime wanavuna vizuri bila hata kuweka mbolea je wanaizid Mbeya Kwa upatikanaji wa chakula?

Mbeya hasa Mbarali huko tunalima mara moja Kwa mwaka na tunavuna vizuri bila hata mbolea.
Ndugu mwanambeya mwenzangu,kama ulivouliza,ninachoongea nakijua.

Hicho kilimo cha mbarali unachosema ninajua vizuri tu,ubaruku huko,mahango igarako na ndani ndani huko nimelima pia,bila mbolea hutoboi...au unataka wote tudanganye,tunadanganya kwa faida ya nini hasa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimesema along the road.
Mbeya hakuna pulling factor ktk mji.
Mwanza kuna ziwa linaloleta utitiri wa watu. Kuna viwanda vya samaki, biashara ipo juu. Ni center ya mikoa ya Shy, Kagera, Mara, Tabora, Singida nk.
Mbeya ipo pembezoni sana watu wa Njombe ndio wamejaa. Mwanza iache tu kama ilivyo mbeya haitakuja kuifikia.
Mbeya asilimia kubwa wanategemea kilimo cha kujikimu, hawana ufugaji mkubwa,wala uvuvi, viwanda vichache sana kulinganisha na majiji mengine.
Fact kabisa umeongea kusini ni sehemu ya kilimo TU Ili wasife njaa ni lake zone ni biashara Ndo utakuta minada mikubwa sana ya mifugo,pia uvuvi ni balaa mtu anajenga ghorofa kama hekalu halafu anatunzia bidhaa kit ambacho kusini likiwepo wanafanya maonesho,,,lake zone jeuri ya pesa ipo
 
Back
Top Bottom