Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Umeongea kitu cha kawaida sana mkuu,nilidhan umekuja na kigezo kipya cha wanawake kuolewa,apo mwisho ungemalizia unless yeye mwnyw hatak kuolewa ama lesbian

Km mm chupi kali yenye afya njema me naweka ndan,tabia tainyoosha umo umo ndan
 
Na mm hii nakubali kuna mmoja huyo enzi namfahamu akiwa kwenye 20's alikuwa na uwife material akawa anafuatwa na waolewaji ila sasa akaja akakutana na kijamaa kilikuwa kihuni kikamfundisha pombe na clubbing za kila weekend baadae si akamuacha demu akawa amekolea kweny ulevi,mpk sasa ana 33yrs anahangaikaga tu.
 
Ila hiyo mileage tunaifanya isome sana ni sisi, tuwaoe tu hakuna namna
 
Damn it 😅, hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
 
Nani kakutenda huyo. Mm nadhani uweke hivi. Ukifikisha miaka 23 hujaolewa kwisha habari yako
 
Ila hiyo mileage tunaifanya isome sana ni sisi, tuwaoe tu hakuna namna
[emoji23][emoji23] nani kakwambia kuwa kila mwanaume anapaswa kubeba mzigo wa wanaume 5-10 wamaex wawadada. Waolewe na waliowachezea. Sijachezea mtoto wa mtu, sio jukumu langu kumuoa.
 
Huku mtandaoni sio kwa kushinda kabisa, njoeni kamsamba huku wanaoa hata kama unanyonyesha, ila huko mjini mnatiana hofu sana, na masingle father, mabachelor na single mother wapo wanabebana wao kwa wao wanachanga na watoto maisha yanaendelea
Kamsamba inapatikana wapi ndugu?
 
Mama zetu wametuangusha sana katika kuwakuza mabinti waliozaliwa kuanzia miaka ya 1980+.

Wengi wanahisi mahusiano kwao sio muhimu hadi pale umri unapowatupa mkono na kubakia wakimanga manga kama mabata kwenye bustani nzuri ya mauwa, wakilia Kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwaaaa kwa kwaaaa kwaaa kwa kwaaaa.
 
Kuanzia una miaka 13 hadi 33 Yani miaka 20 unachezea mboo tofauti tofauti, jamaa kaoa mtumba grade ya mwisho
 
Hizi mada ni kama zinashabiihana hivi, nadhani watoa mada wana hoja wasikilizwe?

 
Kuanzia una miaka 13 hadi 33 Yani miaka 20 unachezea mboo tofauti tofauti, jamaa kaoa mtumba grade ya mwisho
Kwa taarifa yako amenikuta Mwanamke safi mzuri, independent,sio kila mtu ambaye hajaolewa anapenda kuchezea hayo mavitu ambayo hata nguvu hayana, mimi nimewekeza akili yangu katika mambo ya kuniendeleza mimi na watu walionizunguka, pole kama wewe ndo mtumba au umeoa mtumba. Nimeishi mwenyewe miaka zaidi ya 6 sijawahi lala nje na kwangu au mwanaume kulala kwangu, hata huyu alienioa alishangaa kuwa kumbe najua kupika baada ya kunioa, self commitment ni muhimu, tuwe makini na tuanayowaza vinginevyo utajikuta mwanao wa kike hana cha kujifunza kutoka kwako, mimi ni mfano wa kuigwa hata kwa wasichana wangu wa ndani. Sijacomment hapa kumfurahisha mtu ni maisha yangu binafsi, wanaume walikuwa wananifuata ndio lakini mimi sikujiweka karibu na sex mongers, hadi sasa najiweka karibu na wanaume wanaoheshimu wanawake.
 
Dada yangu Executivesister wapo wanawake wa kitanzania waliofika miaka 30 hawajui kupika chakula?
 
Upo sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…