Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

I think inategemea na familia ya uyo binti na akili za wazazi wake piaπŸ˜‚πŸ˜‚
Hapana. Binti mzuri wa sura na tabia inakuwa ni risk kwa mzazi hata kuendelea ku.tunza.

Kwasabb barua zinajazana nyumbani na ugeni wa wachumba wanaoleta barua haukatiki. Binti anasumbuliwa ktk kila nyanja za maisha yake.

Inafika mahali ana nasa kwenye mtego wa mmoja wapo na kuamua kuolewa
 
Labda adabu alianza kupata kuanzia miaka 28- na kuendelea, point yako ya mwisho ndo ya muhimu zaidi, ila mtoa nada hajakosea.
 
Sio wote mzee..πŸ˜‚πŸ˜‚ Japokuwa sijakataa
Kuna wazazi wana malengo na hawana njaa ya pesa,, mtoto asome at least afike level fulani.. akimaliza ndo awaze ndoa, izo barua zisubiri tuu.. Verry possible πŸ˜€
 
Huyo amekudanganya.

Ni ngumu sana Mwanamke kubaki na bikra yake mpaka above 30.

Maana anavunja ungo akiwa ana miaka 12 . Hapo anaanza kuwashwa kuhitaji mwanaume. Huo muwasho hawezi kuuvumilia kwa miaka zaidi ya 15 awe tu hajaonja mjegeje
Jamanii wee kakaa.. Mbona wapoo lohπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…