Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

Hahaa sio padre hata
Kuna watu kunjunjana sio priority kwao
ambae sio priority anajunjana mara chache, huyo jamaa anakuvizia sasa jichanganye siku umpe papuchi ukiamini kuwa jamaa ni bikra utaleta mrejesho utavyopelekewa full throttle moto
 
Umepanic sana naona huko PM unasumbuka sana kuchambua yupi ni yupi na yupi si yupi mwisho wa siku utaangikia kwa Useseme atakutafuna tunda kimasihara, kua makini mkuu

Sijasema mimi mkuu nimenukuu kwa mwamba mmoja hapo juu

Nitarudi tena...
 
ambae sio priority anajunjana mara chache, huyo jamaa anakuvizia sasa jichanganye siku umpe papuchi ukiamini kuwa jamaa ni bikra utaleta mrejesho utavyopelekewa full throttle moto
Nimecheka sana😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…