Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

Kuna wakati nikisoma mwandiko wako huwa nachekaga haki tena🤣🤣

Kichwa yako unaijuaga mwenyewe haki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tuache utani..itakuwa umempelekea motro vizuri sana mleta mada🤣🤣
Ah wee sii unajidai hutaki mie kunyonya lips hizo ndio u missing out sasa.
 
Sasa sii unaona kumbe kupitia uchizi wangu unaburudika na kufurahi.

"Nzii pamoja na hasara zake ana faida ya kupunguza msongamano wa watu hapa duniani"
😆😆😆😆😆😆😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu ivi ni kwamba huwa hujui kuandika kiswahili vizuri au na wewe ni darasa la 7 B mwenzangu??

Kama unashindwa kuandika kiswahili fasaha ukaeleweka basi usiwe unaleta nyuzi humu, mara nyingi umekua ukikosolewa kuwa hueleweki
Itakuwa kimeumana, huyu mzab mzab atakuwa kamzaba zaba mtoto wa watu mpaka amechanganyikiwa
 
Dada alikuwa anafatilia waliosingle na research akafanya akaona bila bila😂😂😂
sophy27 Waliosingle wapo sema dada yetu akili yake haileweki ndio maana anapata watu kulingana na yeye alivyo mbona hata mimi nipo single kuwa single ni maamuzi ya mtu labda unakuta hajaona mtu sahihi wakuingia nae kwenye relationship, kuna mwingine anagundu tu kila sehemu anakataliwa, Mwingine hana interest na wanawake kabisa na wengine unakuta katoka kuachwa au kaacha sasa sijajua kwanini dada yetu anaona ni kitu ambacho akiwezekani
 
Back
Top Bottom