Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mchunguze uone kama hakutaki, we always are on a missionNimecheka sana😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu umegonga mwanafunzi aliyemaliza darasa la saba nini? Maana nimesoma hiyo post mara kumi na bado sijaielewa......!!!!
Mambo tayari mzee, tunapeana raha tuuMtoto amekuelewa fungua codes hizo.
Huoni hapo kwenye heading na wewe mkuu?
Nitumie nauli nije basiNjoo basi...nimechoka kuona....@lenie is typing mwee🤣
Hilo nililokwambia nina uhakika nalo 100%mchunguze uone kama hakutaki, we always are on a mission
Tiket je?Nitumie nauli nije basi
Usisahau ya kutolea
Letw mdhunguuuu🤣🤣🤣🤣Huyu dada haelewekagi hata comments zake at first nilidhan mdhungu🙌
Ya ✈, 🚞 au 🚎?Tiket je?
Letw mdhunguuuu🤣🤣🤣🤣
Unataka kupaaa🤣🤣🤣🤣saga soli kwanza...sotea alaa.Ya ✈, 🚞 au 🚎?
Ngoja nikamwage wadhunguwatu wameshafanya decoding ya huu uzi Jamaa nenda kapunguze uzito, au ulishaenda!
Kawakilishe JFNgoja nikamwage wadhungu
Me niko juu kitambo sanaUnataka kupaaa🤣🤣🤣🤣saga soli kwanza...sotea alaa.
Tunaanziaga chini kwenda juu sio juu kushuka chini🤣
Huwezi kuwa juu yangu vinginevyo hujui nafasi yako😄😄😄Me niko juu kitambo sana
Basi naona hatuendani😂😂😂
Ofcourse siwezi kuwa juu yako as umenizidi urefu😛Huwezi kuwa juu yangu vinginevyo hujui nafasi yako😄😄😄
Ninachoongelea ni kuwa spidi ya maungano yetu yapaswa kuwa ya spidi ndogo huku tukiichochea mdogo mdogo
Ushamfunua umemuacha sasa full malalamikoAliye elewa anieleweshe
Unajua wewe ni falaz sana sana🤣Ofcourse siwezi kuwa juu yako as umenizidi urefu😛
Hayo mambo ya kizamani bana