Hakuna Mwanamke anayekosa mume wa kumuoa, Ila wapo wanaume wanaokosa wake wa kuwaoa!

umeongea vice versa
 
mwanamke akiolewa bila kuwa na pesa ananyanyasika. lazima ataonewa, haki haitakuwepo.

wanawake wajanja wanatafuta maisha kwanza,siku hizi binadamu hawasomeki.
 
We dogo this time unatafuta papuchi ya bure na cheap sympathy

Vijana kibao wapo vzr wanahonga Malaya hadi million sasa hatakosa vipi Mwanamke
Na huku mtaani mademu kibao wanashinda kwa waganga wakiforce ndoa na hawazipati

Acha kuandika ujinga hi thread ya 5 unawapa wanawake tumain hewa.
 
Ni kweli hakuna mwanamke anaekosa kuolewa, na wengine hawaangalii mwanaume ana uwezo gani anachohitaji ni kuzaa watoto maana ni moja ya kuheshimika kwake kwenye jamii.
 

😀😀
Mkuu Mimi sipendagi vya Bure,

Ukiona wameenda Kwa waganga ujue wanatafuta wanaume wenye hadhi wazitakazo, sio kwamba hakuna wanaowatongoza na kutaka kuwaoa.

Elewa.

Kuhonga milioni moja ni tofauti na kuoa au kumiliki Mwanamke Budah!

Ni Sawa ukodishe Bolt au Uba alafu ujifananishe na anayemiliki Gari😂😂😂

Kuoa ni shughuli nyingine Mzee.
Unafanya majukumu yote Kwa ajili ya familia, mke na watoto.
 
Kuna sababu nyingi zinazofanya wanawake wakose kuolewa.

Wanawake ni wengi kuliko wanaume,na bado kuna wanaume wengi hawaoi kutokana na uchumi.

Bado mwanamke akifika 30+ kuolewa ni bahati nasibu.
Statistically kiduania population ya wanaume na wanawake wanaozaliwa ipo sawa ila kadri umri wanavokua wanaume wanakufa haraka ila site tupo sawa Ile maneno ya wanawake wapo wengi ni myth tu. Sema wanawake wana standards ambapo yupo radhi kuolewa mke wa pili Kwa mwanaume mwenye uwezo wa kuhudumia kuliko kuolewa na mke wa kwanza Kwa mwanaume kapuku.

Keep that on your mind
 
Mkuu wewe ume-oa?
 
Point number 1 kwa jamii yetu hapa tarime haifanyi kazi. hata mtoto mchanga ,achana na huo umri wa miaka 12, anaweza kuoa pia
 
Ni ngumu kumkuta Mwanaume anaenda kwa Mganga ili apate kuoa lakin wanawake wanaroga kila leo so ebu fatilia unachoandika ndo upost

Muulize Mshana Jr akuambie kuhusu wanawake wanavyoroga ili waolewe.

Kwa akili zako ukiona mtu anaenda Kwa mganga kutafuta pesa za Majini unafikiri nyumbani hana pesa?
Anachotaka ni zaidi na zaidi.

Ndivyo hata Kwa wanawake, sio kwamba Mwanamke akienda Kwa waganga kutaka mwanaume wa kumuoa sio kwamba hatongozwi au hakuna wanaotaka kumuoa, wapo Ila hawakidhi vigezo vyake.

Au Kwa akili yako ukiona mwanamke anaenda Kwa mganga ili amuweke mumewe kiganjani awe anampa pesa unafikiri ni kweli hawapewi pesa na waume zao, wanapewa sema wanapewa ambazo haziwatoshi wanaziona ndogo.

NAMI nakushauri, kabla huja-comment ni bora uwe unafikiri vizuri hasa kwenye mada za watu wa Aina yangu, ili usije kuaibika.

Hata hivyo huu mi mjadala
 
Point number 1 kwa jamii yetu hapa tarime haifanyi kazi. hata mtoto mchanga ,achana na huo umri wa miaka 12, anaweza kuoa pia

Unajua maana ya kuoa lakini Mkuu?

Usije ukadhani kuoa ni Kama kuweka mtu ndani Kama mdoli.

Mtoto wa miaka 12 wa kiume Hana uwezo wa kuoa hata angefanya nini
 
Kama mimi aisee nimekosa kabisa mke wa kuowa...nimeamua nitulie tu nilee wajukuu
 
mwanamke akiolewa bila kuwa na pesa ananyanyasika. lazima ataonewa, haki haitakuwepo.

wanawake wajanja wanatafuta maisha kwanza,siku hizi binadamu hawasomeki.

Kwa mwanaume ndio maradufu.

Kama huna pesa unaoa ili iwe nini?
Mwanamke hata asipokuwa na pesa kwake haina shida anaweza kuolewa na akasustain
 
Kuanzia leo ni MARUFUKU kwa MWANAMKE YEYOTE kuanzisha UZI kwenye jukwaa la LOVE CONNECT
Tukikukuta tutakuulia hapo, WEWE!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…