Hakuna mwanasiasa/Rais aliweza kupambana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na akashinda!

Mmedanganywa na kukuzwa na Nyerere wapumbavu hamna mnalojua...Kama sio Nyerere msingkuwa na sauti .
Nyerere amekuzwa na Kanisa katoliki kuanzia kusoma kwake shule ya awali wakati wa utawala wa kiingereza mpaka kuajiriwa na most important mpaka harakati za uhuru, Nyerere sio mkubwa kuliko kanisa na hajatokea mtu mkubwa kuliko kanisa, ndio mana the late Benect alijiuzulu. Soma historia acha kulishwa na kukaririshwa.
Julius Kambarage Nyerere alizaliwa mwaka 1922 katika kijiji cha Butiama, wilaya ya Musoma, mkoa wa Mara, Tanzania (wakati ule: Tanganyika).

Alikuwa mmojawapo kati watoto 26 wa Nyerere Burito, chifu wa kabila la Wazanaki.

Alipokuwa mtoto Nyerere alichunga mifugo ya baba yake; katika umri wa miaka 12 aliingia shule akitembea kilomita 30 hadi Musoma.

Baada ya kumaliza shule ya msingi aliendelea kusomea shule ya wamisionari Wakatoliki huko Tabora.

Katika umri wa miaka 20 alibatizwa akawa Mkristo Mkatoliki hadi mwisho wa maisha yake.

Mapadri wakiona akili yake kubwa walimsaidia kusomea ualimu huko Makerere, Kampala, Uganda kuanzia mwaka 1943 hadi 1945
 
Acha uongo wewe hiyo matayo 18 18 haisemi hivyo unatunga uongo wako unaleta hapa kudanganya watu

Matayo 18 18 inasema

Mathayo 18:18-20 BHN​

“Nawaambieni kweli, mtakachofunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachofungua duniani kitafunguliwa mbinguni. Tena nawaambieni, wawili miongoni mwenu wakikubaliana hapa duniani kuhusu jambo lolote la kuomba, Baba yangu wa mbinguni atawafanyia jambo hilo. Kwa maana popote pale wanapokusanyika wawili au watatu kwa jina langu, mimi nipo hapo kati yao.”
 

Mkuu, Shukrani sana sana kwa kunisaidia kumjibu.

Umempa majibu sahihi yanayobainishwa na historia ya TEC.

Fikiria mtu anadhani TEC eti wanaweza kuja na suala lao binafsi kwa manufaa yao binafsi wakitaka liwe la kitaifa!
 
Wewe unakuwa mjinga unaongelea uongo na alifundishwa kuwanyima watu elimu na ujinga ,...Alikuwa na elimu gani ya maajabu zaidi ya kuwa kibaraka tu na kusambaza dini ya mchongo.


Nyerere's mission ni kusambaza ukatoliki na yapo mengi nyuma ya pazia katika kukandamiza watu wa dini fulani ...Mungu atailinda dini yake mpaka leo uislamu umasambaa na elimu yenu ya kupeana kwa kufelisha wengine.


Sasa tuone hao TEC watafnya nn na maamuzi yao ya hovyo ,Magufuli angefuata ushauri wao wa kipumbavu kipind cha Corona unafirikia nchi ingefika wapi?


Hao viongozi wako ni waoga hawnaa chochote wanaweza kufanya ,mwanaume hata hawezi kuoa atatuambia nn?
 
Serikali haziwezi kutishiwa nyau na taasisi yoyote Ile, nakuhakikishia DP world must come na hao Tec wataishia kubweka tu kama mbwa wa majararani na hakuna watakachofanya.
Maendeleo afrika yamekuwa ya mbinde kweli yaniiiii. Mtu na PhD yake anasimama anasema bandari imeuzwa. Are we development enthusiastic minded?
 
Bila Nyerere hakuna elimu Tanzania na hata wewe unatembelea kwa nyota ya Nyerere pumbavu.
Umezaliwa mwaka 2000's ungekuwepo wakati wa Nyerere usingejua hata kusoma 🤣🤣kwa ushamba wako.

Ulivyokuwa mjinga unafuata maelekezo ya kanisa kusapot ujinga wakatika waraka ni wa hovyo hauna logic hata mwanafunzu wa darasa la saba hawezi kuandika utumbo kama ule.
 
Nenda kaungame kwanza ukisha ungama rudi
 
Toa mfano Rais yupi alishindana na TEC kwa jambo lipi na huyo Rais akashindwa?
TEC ndo kitu gani ktk nchi? Acha uzuzu.
Serikali ina vyombo vya DOLA vyote.
TEC haina vyombo vya DOLA., ni dini tu.
Je TEC ina polisi? Ina magereza? ina TISS? nk.
Serikali ikiamua kufanya ya kwake TEC itapotea kwenye ramani ya Tz ndani ya muda mfupi sana. Be ware. Usicheze na serikali.
 
Sema mkuu, ni kweli TEC wana nguvu ila kwa TZ yetu hakuna taasisi yenye nguvu kuzidi raisi wa nchi,
Hao DP world watakuja tu, hata iweje, na hakuna kitu tutafanya
Washangilie sana DP World na Rais wako siku utakapoona matunda ya DP World yanakuumiza wewe na familia yako utawatafuta tu TEC lakini haitawezakana kwa maana mmezoea vya kunyonga.Ona awamu hii kuanzia mwenyekiti wa Kitongoji hadi Rais hakuna aliyechaguliwa na Wananchi wa Tanzania bali wote hao waliwekwa na Dictator Magufuri ambaye hayupo duniani na wanaoumia ni Watanzania wote bila kujali wewe mwenzangu ni ccm au mimi ni CUF.
 
Ina Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…