Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

kwa vile unaskia sana kuhusu kesi za wanaume kutoka nje ya ndoa, kuwa na watoto nje basi umedhania kwamba hakuna mwanaume anaeridhika na mwanamke mmoja, lakini huna njia ya kuthibitisha hilo....

mimi naamini wapo sana tu,
Kama palipo na Masikini Kuna matajiri,
Palipo na wazinzi basi wapo wasio wazinzi
 
Hata mimi siungi mkono hoja.

Ni ukosefu wa nidhamu na muda mwingine ni maamuzi ya mtu. Mtu mwenye nidhamu hawezi kuwa na wanawake wengi.
nakazia hapa, sioni sababu ya kuwa na wanawake wengi au zaidi ya mmoja hakuna jipya nje ya mwanamke 1, labda kama unataka watoto wengi kwa wakati nmoja unless ni mtu kuwa muhuni by nature au makuzi yake..
 
Kipi ni rahisi kati ya kuthibitisha kuwa mwanaume anaridhika na mwanamke mmoja au kuthibitisha kuwa mwanaume hardhiki na mwanamke mmoja?
Huko duniani mnakoendekeza uzinzi mtasema ni rahisi kuthibitisha mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…