Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

kama ndoa imetulia watu wanakosa cha kuizungumzia tofauti na ndoa yenye makesi kesi...

kwenye mambo ya mahusiano watu wana 'negativity bias'

ndo maana mapwiloka hawaskiki
uko sahihi kabisa mkuu, kuna ile pia mtu akiona kwa upande wake yuko hivi anadhani wote wako hivyo sometimes ukiona kuna negative kwako za kutosha hujue kwa mwenzako kuna positivity za kutosha, sioni mantiki ya watu kufanana matabia ya hovyo
 
Sio kila Mwanaume anahitaji hayo mambo ya wanawake wengi .

Na wanaume wa hivyo huwa wanapambania kusudio lao la kuwa hai na kuwa na mchango chanya katika jamii yetu . Ni vizuri ukajua Nguvu yako uiwekeze wapi Mwanamke mmoja anatosha Sana kwa Mtu anayeipambania Dunia na kuwa na mchango chanya hizo zinaitwa sijui tamaa uwapata watu ambao wameamua kuruhusu hiyo Hali Kuanzia katika Akili yao.

Personally sioni umuhimu wa kuwa na wanawake wengi na kuwazalisha ili wawe single mothers ili uonekane upo hai na ulikuja Duniani kuishi unabidi kuhakikisha unaacha mchango chanya katika Maisha ya watu .


Huku Africa kwa sababu hatuna mchango chanya katika huu ulimwengu Basi huwa tunawaza MAISHA ni kula ,na kufanya kazi na ngono tu . Pathetic
 
Sio KWELI WANAWAKE NDIO HAWARIDHIKI UNAKUTA UMEJENGEA JUMBA ZURI CHAKULA ANA KULA HAJUI WEWE UNA HESABU ZAKUTOZAA WATOTO WENGI ILA AKIKUTANA NA MJINGA MWINGINE UNAGONGEWA CHUKUKIA STORY YA MVUVI WA MWANZA ALIYEJIUA NA KUUA MKE WAKE ,CHUKULIA STORY YA GEZAULOLE JAMAA ALIYEUUA AKAMZIKA MKEWE KWENYE ARDHI KWAIYO IYO KAULI NAIPINGA
 
I agree with you , Binadamu kapewa Nguvu za uumbaji kile unachokiongea na kukisema Sana lazima kichukue Sehemu kubwa ya Maisha yako tu

Ukisema wanaume wote ni mbwa utakuna na mbwa kweli na utaendelea kuumizwa Sana na mapenzi
As the same ukisema wanawake wote ni ombaomba utakutana na ombaomba Hadi ushangae.


So tujitahd kuacha kugeneralized mambo wanaume smarty and wiser tupo na wapo ambao wanajua lengo kuu la wao kuwa hai ni Pamoja na kukaa mbali na uchafu
Wanaume wanaoridhika na mwanamke mmoja wapo wa kutosha 💗
 
Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
UKO SAHIHI SANA. MWAUME ALIYETIMAMU KUWA NA MKE MOJA NI UWONGO. HAIWEZEKANI HATA KJDOGO.
 
Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
Wagalatia 5 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁶ Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.
¹⁷ Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka.
 
Mke huwa ni mmoja...anatulia home...
Wengine wakupiga na kuacha ..maana wengi wataka mali tu
Hebu mchukue huyo wa home mpeleke lodge au hata gesti na utumie style mpya. Utagundua kwamba huyo mkeo Ni mtamu kuliko maelezo.
Tatizo nyie mnafanya style hiyo hiyo, kitanda hicho hicho, chumba hicho hicho ndio maana unatafuta variety kwingine.
Hebu Leo mtoe out halafu chukueni chumba, muoge wote, piga mswaki Anza kushikana. Kesho hata Nidhamu itakua imeongezeka.
Halafu kingine, ukiwa na mkeo mnafanya nyama nyama. Hakuna kuingizana makatatasi sehemu nyeti.
 
Back
Top Bottom