Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

Hebu mchukue huyo wa home mpeleke lodge au hata gesti na utumie style mpya. Utagundua kwamba huyo mkeo Ni mtamu kuliko maelezo.
Tatizo nyie mnafanya style hiyo hiyo, kitanda hicho hicho, chumba hicho hicho ndio maana unatafuta variety kwingine.
Hebu Leo mtoe out halafu chukueni chumba, muoge wote, piga mswaki Anza kushikana. Kesho hata Nidhamu itakua imeongezeka.
Halafu kingine, ukiwa na mkeo mnafanya nyama nyama. Hakuna kuingizana makatatasi sehemu nyeti.
Tulishafanya yote hayo mkuu...kila shimo na utam wake
Huyu wa nyumbani vigezo vyake sio shimo tu..akili ya kuendesha familia,uwezo wa kupambanua mambo...
 
Wagalatia 5 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁶ Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.
¹⁷ Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka.
Mtumishi point Yako haina unafiki
 
Afu unakuta wanasema oh mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja.. yuko na kibamia chake kazi kujidhalilisha anavyokichungulisha kwa watu mbalimbali 🤣🤣🤭
😂😂Dharau nyengine wanaume huwa wanajitakia wenyewe tu.

jitu linataka kila mwanamke alale naye yaani hata ukipita mtaani umevaa nguo, hao ulolala nao wanakuona uko uchi....sijui ni ulimbukeni au😹😹😹
 
Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
Ndo ukwel huu, Mwanaume lazima uzipo jiheshimu, kujiwekea class flan ivi kila tako unageuka utafika mbenguni umechoka sana
 
Nikiwa kwenye ground state hua sinaga mawazo ya kucheat bibi yangu, sema nikikutana na mdada na akanionesha signal ndo nakengeuka
 
Back
Top Bottom