Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

Kwa hii ratio ya me vs ke ukitaka kila me awe na ke mmoja utafanya ke wengi wafe kwa ugwadu.
 
Kuridhika kupo kama utakuwa bussy na mambo ya maendeleo ila kama ni yule wa kugeuza shingo kila mara ,hata ukipewa wanawake 100 bado utatamani tena.

Ridhika na kilichopo tamaa ni mbaya.
 
Kwa hiyo,akili zako zimekudanganya wanawake ndo wanalidhika na mwanaume mmoja? Wanaoikubali biblia wanajua maandiko yao wakwambie. Mara mia puta kuliko kahaba
 
Huendi🤣🤣
Mie Niko msiban wanajiandaa kwenda misa ya kwanza Ila mie siendi
Usiseme basi kwa nguvu 😂😂

Kwanini huendi na uko na kampani?

Poleni kwa msiba dear.
 
Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
Binadamu hawezi kuridhika kwa chochote si wanawake tu, Ukilijua hili, hakuna kitu kutakupa shida.

Kuna watu wengi wanaumwa Obesity sababu walishindwa kuridhika, Na mwisho wa siku wamekuwa na magonjwa ya moyo, visukani na matakataka mengine sababu walishindwa kuridhika

Okay hatuwezi kuridhika na mwanamke mmoja then, tuwe na wanawake 700 kama mfalme Suleiman?

Haya mambo ya kutoridhika kuna muda tunayatumia kujustify dhambi zetu. Mungu ametuuma hivyo kuwa ni viumbe tusioridhika kwa miili yetu hii iliyojaa dhambi.

Jikabidhi maisha yako kwa Mungu, Jitenge na Uovu, hakuna kitu kitakuwa kigumu kwako,

Na Bwana Akubariki.
 
Na wake zetu waelewe tu tunachepuka kwa sababu ya tamaa wala sio kwamba hatuwapendi wake zetu

Tukishamwaga huwa wakati mwingine tunajilaumu ila ndio hatuwezi kuacha hiyo tabia mtuvumilie

Upendo wetu uko kwa wake zetu huko nje ni kujiridhisha tu kimwili

Wake zetu msiwaonee wivu michepuko yetu wale tunawatumia tu na kuwatema kama chewing gum
 
Halafu mkome kuwa mnajilinganisha na mfalme Solomony, alikuwa mfalme nyie sio wafalme, nguvu za kiume za kuridhisha wake 1000 hapa hamtoboi, hekima, ndie binadamu tajiri zaidi kuwahi kutokea nyie ni kina apeche alolo ni km leo eti mwanamke ajifananishe na bikira Maria,
 
Externally games muhimu...hasa watoto wa globalisation.
 
Back
Top Bottom