Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
Kuna mwanamke aliniambia,hata wao wanatamani sana wanavutiwa sana na wanaume tofauti tofauti,ila hawana namna,nilimshangaa sana naye akawa ananishangaa.Akaniambia ukimuona mwanaume mwenye mvuto zaidi ya uliyenaye lazima umtamani ,hata sisi tunapenda kubadilisha ladha.
 
Back
Top Bottom