Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

Hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja kimwili

Kuna mwanamke aliniambia,hata wao wanatamani sana wanavutiwa sana na wanaume tofauti tofauti,ila hawana namna,nilimshangaa sana naye akawa ananishangaa.Akaniambia ukimuona mwanaume mwenye zaidi ya uliyenaye lazima umtamani ,hata sisi tunapenda kubadilisha ladha.
Ni kweli mkuuu sisi wenyewe huwq tunatamani
 
Jana nilichakata piss mboovu snaa Hadi najikaumu walai dah mgogo yule apana kwa Kweli nikitoka pale nilifuta na kubloku namba kbsa
 
HAKUNA MWANAUME ANAERIDHIKA NA MWANAMKE MMOJA HAIPO IYO NA HAITOKUJA KUTOKEA.. K" MOJA INACHOSHA NI MAMBO YA KIHISIA NA SILIMIA 98% YA WANANDOA WAMEINGIA KWENYE MLANGO WA PUNYETO YANI KUFANYA MAPENZI NA WAKE ZAO NA KUVUTA HISIA KWA WANAWAKE WENGINE

WANAWAKE MSICHUKIE HIYO NI NATURE NA WALA SI AIBU KUWA NA PISI ZAIDI YA MOJA

K" MOJA INAMALIZA NGUVU ZA KIUME NA INAUA HISIA HATA KAMA MWANAMKE UNAMPENDA VIPI
 
kataa kukengeuka mkuu. inawezekana.


JESUS IS CHRIST
Kaka mi ni miongoni mwa wale waliopata bahati ya kulelewa katika maadili ya kiimani ya kikristo kwa 99.9% ila tamaaa ni ngumu sana kuishinda yaan ukae robo Karne bila kudinya mtumishi?
 
Kaka mi ni miongoni mwa wale waliopata bahati ya kulelewa katika maadili ya kiimani ya kikristo kwa 99.9% ila tamaaa ni ngumu sana kuishinda yaan ukae robo Karne bila kudinya mtumishi?
kabidhi maisha yako kwa Bwana Yesu, kwa maana ya kuokoka Yeye atakusaidia.

Hatuzishindi dhambi kwa nguvu zetu, ni msaada toka kwa Mungu, na msaada huu hupatikana baada ya kuupokea wokovu ulio katika Kristo Yesu Bwana "tunayaweza mambo yote katika Yeye atutiaye nguvu"

JESUS IS LORD!
 
Ukweli ni kwamba hakuna Mwanaume anayeweza kumtoshereza Mwanamke mmoja.
 
We mwehu nini! Wana vyombo vya starehe. Hata hotelini sahani uliyolia mchana,jioni ukirudi unabadilishiwa.
Full stop. Kipi wanacho wenzao hawana?
Mnataka hela,vya bule wanaume wanapata. So? So what!!!!
 
Back
Top Bottom