shanature
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,693
- 1,432
una mke sio mtamu...na hujapita kwingi kabla hujaamua kuoa...Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una mke sio mtamu...na hujapita kwingi kabla hujaamua kuoa...Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
Anakanywa hasikii anapigwa chini analetwa mwengineIla akipinga pinga
Ni kweli mkuuu sisi wenyewe huwq tunatamaniKuna mwanamke aliniambia,hata wao wanatamani sana wanavutiwa sana na wanaume tofauti tofauti,ila hawana namna,nilimshangaa sana naye akawa ananishangaa.Akaniambia ukimuona mwanaume mwenye zaidi ya uliyenaye lazima umtamani ,hata sisi tunapenda kubadilisha ladha.
Mpaka wanawake wenzio?Ila kuna wanawake wapo vizuriii hadi mimi mwenyewe shingo huwa inauma kugeukageuka[emoji23]
Daaa!!Ni kweli mkuuu sisi wenyewe huwq tunatamani
Ndiyo mkuu nawashangaa jinsi Mungu alivyotulia kuumbaMpaka wanawake wenzio?
20 na hivi wanavyopiga vizinga vya aftatu kila siku inakata 60kUkachomwe moto kwa vimichepuko vitano ndugu yangu, tutakuheshimu ukiwa na 20😂😂
Hahah...kwamba hatoshi unampa msaidizi kama naniii!!!! Tulia mama naniiNakazia🤣🤣🤣 ingekuwa inaruhusiwa huyu Baba K ningekuwa nishamuongezea mume wa pili🤣🤣🤣
kataa kukengeuka mkuu. inawezekana.Nikiwa kwenye ground state hua sinaga mawazo ya kucheat bibi yangu, sema nikikutana na mdada na akanionesha signal ndo nakengeuka
Kaka mi ni miongoni mwa wale waliopata bahati ya kulelewa katika maadili ya kiimani ya kikristo kwa 99.9% ila tamaaa ni ngumu sana kuishinda yaan ukae robo Karne bila kudinya mtumishi?kataa kukengeuka mkuu. inawezekana.
JESUS IS CHRIST
Mi naona sasa nakoelekea nakuwa SINGULAR kabisa siyo single sema ni kipengele kuamua kuwa single acha tu.Na Kuna watu Hadi wanakufa hawana hata huyo mmoja.
Maamuzi yako ndio maadili ukiyokulia na kuyaishi Kama siyo kujisalimisha
kabidhi maisha yako kwa Bwana Yesu, kwa maana ya kuokoka Yeye atakusaidia.Kaka mi ni miongoni mwa wale waliopata bahati ya kulelewa katika maadili ya kiimani ya kikristo kwa 99.9% ila tamaaa ni ngumu sana kuishinda yaan ukae robo Karne bila kudinya mtumishi?
Wao wenyewe wanasemaje?Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
Prostitute.Wengi wasioridhika wanakuaga vibamia....🤣🤣🤣
Ila hata mume mmoja hatoshi....basi tu🤣🤣