Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳😳😳😳😳Ukweli mchungu huu.
Siyo wote,wapo Wanawake hawezi kutulia na mwanaume mmoja na anawapanga haswaaaa na vilevile wapo wanaume wa hivyo.Wapo Wanawake wametulia hawavui vui ovyo,pia wapo wanaume wa ivyo walio tulia na mmoja na maranying huwa wanapenda haswaa wakiwa na wapenz wao maana hawawazi pengine.Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
🙈🙈😳😳😳😳😳
Huwezi kula ugali kila siku.Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
Nakazia🤣🤣🤣 ingekuwa inaruhusiwa huyu Baba K ningekuwa nishamuongezea mume wa pili🤣🤣🤣Huwezi kula ugali kila siku.
Haina shida wakwanza unampikia wapili unaenda kumuoshea vyombo na watatu unaenda kumfulia fresh tu.Na hao wote wakikuwekea libwata inakuwaje hapo?
Anakua Zuzu zezeta MsukuleNa hao wote wakikuwekea libwata inakuwaje hapo?
Upewe maua yako aseee nmependa natamani waruka njia msome hii mjifunze kituWakati fulani wa ujana wangu nilijaribu huu ujinga wa kutaka kumiliki mke na kimada(ndoa ikiwa na mwaka ½ baada ya wife kujifungua mtoto wa kwanza),yupo mmoja tulikutana kwenye issue za kibiashara alikuwa mteja wangu nikaona huyu huyu mwenye akili ya biashara nisogee nae since alishaniambia umri umesogea amekata tamaa ya kuolewa so nikaona niingize vocal.
Nikiwa ktk process(sijamtamkia bado ila alishahisi kitu) nikajikuta nimejichanganya ana deni langu 1.4mill na sikuwahi kuwaza kwamba kuna siku nita-spend more than 1mill kwa mwanamke asiyekuwa mke wangu nikajua huyu nikileta ujinga hela yangu imeondoka so nika-mute nikawa namsikilizia alipe then niropoke,yale mazoea ya kijinga niliyokuwa nimeanza yakaanza kuni-cost alikuwa hakai na deni langu zaidi ya wiki tatu ameshanilipa lakini mara hii ukaenda mwezi miezi miwili ikiwa tunautafuta wa tatu siku hiyo nimeamka asubuhi nakuta text yake ”jamani A naomba nikoposhe mill 2 nataka nikanunue kiwanja kuna best'angu kaka'ake amekwama kipo sehemu nzuri kweli yani”
Wife alikuwa amechelewa kuamka nikageuka nikamtizama pale kitandani amejilaza kwa utulivu na mwanetu mchanga kichwani nikawa natafuta sababu ni nini hasa nakikosa kwa huyu hadi nigharamike kiasi hiki?akili ilinirudi baadae nipo ofisini ananipigia kuuliza kama niliona ujumbe wake nikamwambia ujumbe nimeuona lakini siwezi kukukopesha wakati nakudai nikamkazia kwanza niletee hela yangu (ile 1.4)nina kazi nayo,alinuna wiki mwisho heshima ikarudi.
Ukishakuwa na familia yote fanya kwa ajili yao,wafurahishe ukiona una hela kidogo ya ziada nunulia wanao kitu siyo kwenda kutapanya,hukosi cha kununua kama ni nguo hata viatu au ule muda unaenda kwa vimada kaa na familia yako furahi nao utapata baraka zaidi.wanawake wengi wanaokubali kuwa vimada siyo wanakupenda sana hao wapo na wewe ili wakuibie tu hizo hela za kuwalipia nyumba sijui kununua simu nzuri nenda kawekeze kwa ajili ya familia yako,una watoto wanasoma wanataka wale vizuri walale pazuri mkeo afurahie kuolewa na wewe ukiendekeza vimada haya huyafanyi.
Basi aendelee kukazana Kama ni sifa,tutakuwa tuna mletea pumba wamlishe.Anakua Zuzu zezeta Msukule
Wimbi la wanawake wake za watu kutombewa kwenye magari Dar hasa cocobeach na sehem za parking usiku umeshamiri na inatisha Sana ....juzi mlimani city nimeshuhudia mke wa rafiki yangu anabinuliwa kwenye gari dah inauma SanaNdio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
Ndio hivyo, tunanafikiana tu eti mke mmoja! Uongo mtupu pisi zikikatiza udenda chini na kujikaza tu. Hii shughuli ni pevu mnooo.
Mtumishi kwenye M & ENimekaa hapa na daftari..
Na note wanaume wazinzi.. wasio ridhika..
Na nina note wanafki ambao wanasema hawachitigi..
Na nina note wale wakweli..
Nina macho ya rohoni.. nawaona mpaka ndani ya miandiko yenu [emoji23][emoji23]
Huku kwetu haukatiki 😂Mtumishi kwenye M & E
Ulikumbuka kunyoosha nguo ya kanisani?? Umeme hautabiriki dogo!!