great dream
Member
- May 15, 2024
- 8
- 14
Nataka kujua kuhusu hiki kitu ambacho kimenifanya nishindwe kabisa kuwaamini wanaume ,je ni kweli wanaume wameumbwa na matamanio kiasi cha kwamba hawawezi kutosheka na mwanamke mmoja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache tujilie vinono.Kutosheka? Hakuna mwanadamu anayetosheka na chochote, achilia mbali kuridhika na mapenzi.
Hata wangepewa elfu, bado watatamani tena.
Mtu akishindwa kutawala akili yake ndipo mhemko unaiendesha unavyotaka.
Suleiman na ufalme wake alishindwa na kuona Hadi wanawake wakigeni ,Nataka kujua kuhusu hiki kitu ambacho kimenifanya nishindwe kabisa kuwaamini wanaume ,je ni kweli wanaume wameumbwa na matamanio kiasi cha kwamba hawawezi kutosheka na mwanamke mmoja?
Ni Tamaa tu na ulimbukeni wa pesa mkuu. Tunzeni wanawake zenu mliokuwa nao ndani wacha kutolea macho hao wa nje,Kwa aliye timamu kimwili na kiakili, na kipesa Mwanamke mmoja hatoshi, anaweza kutafuna mbususu zaidi ya moja kila siku....
Wanyama wanagongana mpaka mtu na dadaake, Mtoto anazaliwa leo anakua anamgonga mamaake. Hatuwezi kuishi kama wanyama. Mungu alipoumba binadamu alijinadi kutengeneza kiumbe bora katika viumbe wake alafu wewe unataka kujifananisha na mnyamaKaangalie channel za discocery planet, animals n.k uje utwambie Swala dume huwa ana majike mangapi anakaa nayo porini ? Simba dume je ? Hamuwezi kushindana na nature.Hivo ndo ilivyooumbwa na mola.
Swala dume anaishi na majike zaidi ya ishirini na Simba dume anaishi na majike zaidi hata ya sita !
Mmmekaa kuwangalia wambea tu kina Mwijaku baba nani sijui na yule anaejiita influencer !
mimi ni mwanamkeWewe ni me au ke ?
Nimesoma bandiko lako lakini sikujua mtoa mada hii, nikarejea juu nilipoona jina tu nikapata jibu, kutokana na ruhusa uliyokuwa nayo ya kumiliki binadamu wanne basi huna sababu ya kuwa na ziada na usiwaona wengine ni wakosefu katika jambo hilo siyo sawa.Ni Tamaa tu na ulimbukeni wa pesa mkuu. Tunzeni wanawake zenu mliokuwa nao ndani wacha kutolea macho hao wa nje,
"Eti aliyetimamu kimwili na kiakili" umeshindwa kucontrol mihemko yako ya ngono alafu unaita utimamu wa akili. Kuna maamuzi wanaume tunafanya kwa kukurupuka tu matokeo yake unaumiza watoto wako mwenyewe
Ndo umeongea nini sasa??Nimesoma bandiko lako lakini sikujua mtoa mada hii, nikarejea juu nilipoona jina tu nikapata jibu, kutokana na ruhusa uliyokuwa nayo ya kumiliki binadamu wanne basi huna sababu ya kuwa na ziada na usiwaona wengine ni wakosefu katika jambo hilo siyo sawa.
Mkuu unaongelea umasikini, au Nature ya Viumbe Hai?? Ukiona hauna hicho unachokiita Mihemuko ujue una tatizo mahali, aidha umasikini unakunuka au una tatizo la Kiafya iwe akili au mwili, vinginevyo Nature inakataaKuna mwamba tunakaa naye mtaani huku, anakujaga na kuondoka. Ana mke na watoto wake ila huku pia kuna demu amempangishia nyumba kamfungulia biashara na amezaa naye mtoto mmoja
Mtu mwenye utimamu hawezi kufanya huu ujinga,
Wanetu mnafeli sana kwa kigezo cha mwanaume anamatamanio. Mtoto wa kiume unawaza ngono tu muda wote kama paka, wanawake washindwe kucontrol hisia zao na wewe mwanaume pia ulalamike eti hiwezi kujicontrol si tatizo hilo