abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Mack Zuckerberg anahela kuliko ukoo wenu mzima na katulia na mke wake mmoja, nyinyi wenye akili za kimaskini ndo mnahusisha mihemko yenu na kuwa na pesa.Mkuu unaongelea umasikini, au Nature ya Viumbe Hai?? Ukiona hauna hicho unachokiita Mihemuko ujue una tatizo mahali, aidha umasikini unakunuka au una tatizo la Kiafya iwe akili au mwili, vinginevyo Nature inakataa
Mwanaume rijali hapimwi kwa kuwa na wanawake wengi, urijali wako unaangaliwa jinsi gani unaweza kummudu uyo mkeo mmoja na watoto aliokuzalia, umeshindwa kummudu mwanamke mmoja ndani alafu bado unajiona mzima hauna mapungufu!
Aliyekuroga amefariki shehe