Hakuna mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja au ni hulka ya mtu tu?

Hakuna mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja au ni hulka ya mtu tu?

Ushawah tosheka na Chakula gani tangu uzaliwe?
Mara zote umekua ukilazimika kuridhika na urefu wa kamba yako kwa kujinyima tu ila ukipata nafas ya kupata zaidi utataka zaidi.
Hainaga kutosheka hii labda immediately after Bao lakini baaadae uuuuwiiiih......
 
Kaangalie channel za discocery planet, animals n.k uje utwambie Swala dume huwa ana majike mangapi anakaa nayo porini ? Simba dume je ? Hamuwezi kushindana na nature.Hivo ndo ilivyooumbwa na mola.
Swala dume anaishi na majike zaidi ya ishirini na Simba dume anaishi na majike zaidi hata ya sita !
Mmmekaa kuwangalia wambea tu kina Mwijaku baba nani sijui na yule anaejiita influencer !
Inaweza ukawa upo sahihi. Lkn je..unaongeleaje wanyama majike kuingiliwa na madume wengi?
Nikikwambia kwamba mwanamke ni sawa kuwa na wanaume wengi maana ni nature naamini kabisa utapinga
 
Nawaona beta males/wanaume waliomezwa na mfumo jike ambao wameshikwa na wake zao kimfumo wameushambulia sana huu uzi... mpaka wanakuja na mifano ya akina Mark Zuckerberg ili tu kutetea monogamy(unnatural behaviour of men), hakika feminists wamefanikiwa sana kubadilisha kizazi cha kiume cha sasa..

Ukiskia wanasema "we redefine masculinity" sasa ndio hii, leo hii mtoto wa kiume anaambiwa kuwa na wanawake zaidi ya mmoja sio kitu cha kiasili ni kujiendekeza na yeye amekubali duuh...!!

Enyi beta males mnaomponda mleta mada siku mkijua biological differences kati ya mwanaume na mwanamke mtaondokana na hizo imani zenu za kisasa mlizopandikizwa na wazungu zinazokinzana na asili ya mwanadamu.....!!
 
Mack Zuckerberg anahela kuliko ukoo wenu mzima na katulia na mke wake mmoja, nyinyi wenye akili za kimaskini ndo mnahusisha mihemko yenu na kuwa na pesa.
Mwanaume rijali hapimwi kwa kuwa na wanawake wengi, urijali wako unaangaliwa jinsi gani unaweza kummudu uyo mkeo mmoja na watoto aliokuzalia, umeshindwa kummudu mwanamke mmoja ndani alafu bado unajiona mzima hauna mapungufu!
Aliyekuroga amefariki shehe
Hulka
 
Kaangalie channel za discocery planet, animals n.k uje utwambie Swala dume huwa ana majike mangapi anakaa nayo porini ? Simba dume je ? Hamuwezi kushindana na nature.Hivo ndo ilivyooumbwa na mola.
Swala dume anaishi na majike zaidi ya ishirini na Simba dume anaishi na majike zaidi hata ya sita !
Mmmekaa kuwangalia wambea tu kina Mwijaku baba nani sijui na yule anaejiita influencer !
Kwahiyo bindamu kawa mnyamapori sahivi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzinzi unawasumbua wabongo, Lol
 
Niliwahi sikia eti mwanaume ni kama jogoo, atampanda jike huyu, atatoka atamapanda jike lingine. So hawa kuku jogoo, usiwafikirie sana akiwa kwako ni wako, akitoka wa wote!
Kukiwa na wanawake kama wewe 100 tuu na kupaza sauti dunia itakuwa mahali salama 🔥🔥🔥🔥🔥
 
Huo ndio uhalisia wa maisha. Hautosheki na mwanamke mmoja tu. Bali hata mali na mafanikio. Utataka zaidi na zaidi.
 
Back
Top Bottom