Hakuna mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja au ni hulka ya mtu tu?

Hakuna mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja au ni hulka ya mtu tu?

Made
 
Attachments

  • GRkgg-nWIAAFkje.jpeg
    GRkgg-nWIAAFkje.jpeg
    99.3 KB · Views: 4
Kusema ukwel mwanadamu hajawahi kiridhika , mwili hauwez kiridhika kamwe Bali unaweza angalau kujicontrol mwnyw
 
Mack Zuckerberg anahela kuliko ukoo wenu mzima na katulia na mke wake mmoja, nyinyi wenye akili za kimaskini ndo mnahusisha mihemko yenu na kuwa na pesa.
Mwanaume rijali hapimwi kwa kuwa na wanawake wengi, urijali wako unaangaliwa jinsi gani unaweza kummudu uyo mkeo mmoja na watoto aliokuzalia, umeshindwa kummudu mwanamke mmoja ndani alafu bado unajiona mzima hauna mapungufu!
Aliyekuroga amefariki shehe
Wewe umejuajeeee Mark Ana mke mmoja bro
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na wake watatu kisheria na kuwa na mke mmoja wakisheria na mawahara 20 wanaoletwa na mifumo yako uliyoiweka kutokana na pesa au nguvu ya utawala ulizonazo, tafakari....
Mack Zuckerberg anahela kuliko ukoo wenu mzima na katulia na mke wake mmoja, nyinyi wenye akili za kimaskini ndo mnahusisha mihemko yenu na kuwa na pesa.
Mwanaume rijali hapimwi kwa kuwa na wanawake wengi, urijali wako unaangaliwa jinsi gani unaweza kummudu uyo mkeo mmoja na watoto aliokuzalia, umeshindwa kummudu mwanamke mmoja ndani alafu bado unajiona mzima hauna mapungufu!
Aliyekuroga amefariki shehe
 
Alikudanganya nani kuna mahusiano ya karibu baina ya shughuli au majukumu yako ya kila siku na nyege mkuu, ukiona hivyo ujuwe kuna shida mahali 😂
Hakuna shida mkuu ,hii ni kwangu na sio kwa kila mmoja boss.
 
Back
Top Bottom