Hakuna mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja au ni hulka ya mtu tu?

Ushawah tosheka na Chakula gani tangu uzaliwe?
Mara zote umekua ukilazimika kuridhika na urefu wa kamba yako kwa kujinyima tu ila ukipata nafas ya kupata zaidi utataka zaidi.
Hainaga kutosheka hii labda immediately after Bao lakini baaadae uuuuwiiiih......
 
Inaweza ukawa upo sahihi. Lkn je..unaongeleaje wanyama majike kuingiliwa na madume wengi?
Nikikwambia kwamba mwanamke ni sawa kuwa na wanaume wengi maana ni nature naamini kabisa utapinga
 
Nawaona beta males/wanaume waliomezwa na mfumo jike ambao wameshikwa na wake zao kimfumo wameushambulia sana huu uzi... mpaka wanakuja na mifano ya akina Mark Zuckerberg ili tu kutetea monogamy(unnatural behaviour of men), hakika feminists wamefanikiwa sana kubadilisha kizazi cha kiume cha sasa..

Ukiskia wanasema "we redefine masculinity" sasa ndio hii, leo hii mtoto wa kiume anaambiwa kuwa na wanawake zaidi ya mmoja sio kitu cha kiasili ni kujiendekeza na yeye amekubali duuh...!!

Enyi beta males mnaomponda mleta mada siku mkijua biological differences kati ya mwanaume na mwanamke mtaondokana na hizo imani zenu za kisasa mlizopandikizwa na wazungu zinazokinzana na asili ya mwanadamu.....!!
 
Hulka
 
Kwahiyo bindamu kawa mnyamapori sahivi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzinzi unawasumbua wabongo, Lol
 
Niliwahi sikia eti mwanaume ni kama jogoo, atampanda jike huyu, atatoka atamapanda jike lingine. So hawa kuku jogoo, usiwafikirie sana akiwa kwako ni wako, akitoka wa wote!
Kukiwa na wanawake kama wewe 100 tuu na kupaza sauti dunia itakuwa mahali salama πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Huo ndio uhalisia wa maisha. Hautosheki na mwanamke mmoja tu. Bali hata mali na mafanikio. Utataka zaidi na zaidi.
 
Nataka kujua kuhusu hiki kitu ambacho kimenifanya nishindwe kabisa kuwaamini wanaume ,je ni kweli wanaume wameumbwa na matamanio kiasi cha kwamba hawawezi kutosheka na mwanamke mmoja?
Wee una pumbu moja au mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…