Hakuna mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja au ni hulka ya mtu tu?

Kusema ukwel mwanadamu hajawahi kiridhika , mwili hauwez kiridhika kamwe Bali unaweza angalau kujicontrol mwnyw
 
Wewe umejuajeeee Mark Ana mke mmoja bro
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na wake watatu kisheria na kuwa na mke mmoja wakisheria na mawahara 20 wanaoletwa na mifumo yako uliyoiweka kutokana na pesa au nguvu ya utawala ulizonazo, tafakari....
 
Alikudanganya nani kuna mahusiano ya karibu baina ya shughuli au majukumu yako ya kila siku na nyege mkuu, ukiona hivyo ujuwe kuna shida mahali ๐Ÿ˜‚
Hakuna shida mkuu ,hii ni kwangu na sio kwa kila mmoja boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ