Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Acha kutusemea mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpango wa Mungu ni kwamba Mungu ameumba wanaume ili majike yote ya nyiwa, nyumbu, samaki, watu, senene, tembo, simba, kunguni, nk yazae kwa wakati. Asitokee jike litakalokosa mbegu ya kumuwezesha kuzaa kwa wakati uliokusudiwa. Yaani kutunza mbegu kwenye korodani zako au kummwagia mbegu zako mama asiyezihitaji (ana bleed, ana mimba tayari, ana mtoto mchanga) wakati kuna mwanamke mahala anazihitaji ili kupata mimba ni kuingilia kazi ya Mungu. Siku zote tukumbushane kuwa sex sio kwaajili ya starehe bali kwaajili ya kuzaa tu.Hapa una'commit' fallacy ya generalisation. Ukiwasamea wanaume wote ina maana unafahamu mawazo na hisia za kila mmoja wao na kila mmoja wao ana maisha gani, amelelewaje, anakula nini na wapi na nani na analalaje na nani. Nani kakupa huo uwezo? Mimi najisemea mwenyewe na sisemewi na mtu na nina mke mmoja. Labda wale unaowasemea ndio wenye wanawake zaidi ya mmoja.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hayo majogoo na mabeberu hayajui kulima, kubeba zege n.k. Sasa wewe endekeza kwichikwichi wewe unakonda wenyewe wananenepa.
Umeongea kweli mkuu maisha ni kuamua ni swala linalo wezekana hata mwanamke hawezi kuridhika na mwanaume mmoja ila anaamua kujitunza na kukulindia heshimaYani ukijiona unaamini kwamba "hakuna mwanaume mwenye mke mmoja" basi jua wewe ni mjinga unaelazimisha watu waamini unachokifanya wewe.
Usitake kuwalisha sumu mbaya wanawake waanze kuwa na hofu na waume zao.
Kwani haitoshi kusema kwamba nature ni mwanaume anaweza kuwa na wake wengi lakini sio lazima kila mwanaume aishi kwenye nature hiyo.
Mnasambaza ujinga sana kwa wanawake.
Wapo wanaume hawana habari na kuwa na mademu wengi japokuwa wanawaona wazuri zaidi ya wake zao lakini hilo hata wanawake pia wanawaona wazuri zaidi ya waume zao.
Kama ambavyo nature ya mwanamke ni kuzaa lakini wapo ambao hawazai,sasa usilazimishe kusema kila mwanamke atazaa au anazaa wengiine hawazai eidha kwa dharura au kutaka wenyewe.
Kutaka kuwaaminisha kwamba kila mwanaume lazima awe na wanawake wengi ni ujuha unaopaswa kupigwa vita.
Hakuna anaekataa kwamba nature iko hivyo lakini kinachokataliwa ni kuwa sio kila mmoja kwamba lazima afuate nature hiyo.
Ziko nature nyingi sana lakini wengine hawaendi sambamba nazo,usijaze watu ujinga kwamba lazima "KILA MWANAUME"
Kuna wanawake wametulia na waume zao wakiinjoi maisha acha kuwa na negativity kiasi hiki.
Usilazimishe kwamba lazima kwa kkla mwanaume iwe hivyo,sema kwa wanaume wengi iiko hivyo,uwingi sio kwamba ni wote.
Badili mitazamo yako aisee.
Maelezo yako haya ndiyo yanayoelezea kichwa cha habari: 'Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye'?Mpango wa Mungu ni kwamba Mungu ameumba wanaume ili majike yote ya nyiwa, nyumbu, samaki, watu, senene, tembo, simba, kunguni, nk yazae kwa wakati. Asitokee jike litakalokosa mbegu ya kumuwezesha kuzaa kwa wakati uliokusudiwa. Yaani kutunza mbegu kwenye korodani zako au kummwagia mbegu zako mama asiyezihitaji (ana bleed, ana mimba tayari, ana mtoto mchanga) wakati kuna mwanamke mahala anazihitaji ili kupata
Je, nguvu zako za kiume, afya yako na uchumi wako unashindwa kuhudumia wanake wengine 2 au watatu hapo mtaani kwako ambao wanashida ya mwanaume na mahitaji ya lazima kama pedi, chakula, malazi na kupata ujauzito? Kwanini unatupa chakula hapo kwa mke mmoja? kwanini ule chakula kingi hapo kwa mke wako huyo kuliko kazi unayoifanya hadi unapata kitambi, overweight, pressure, kisukari? Mume anayefanyakazi kwelikweli za kiuchumi, kijamii na mapenzi(sex) hawezi kuwa na kitambi hata siku moja. Ukikuta mwanaume ana kitambi lazima ana shida kwenye sex, anafanya sex hafifu, isiyokubalika hata kwa mkewe.Maelezo yako haya ndiyo yanayoelezea kichwa cha habari: 'Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye'?
Usitufananishe sisi na wewe, sisi wengine tumeridhika na mke 1. Usitusemeee wewe sio msemaji wetu
Mimi nitoe kwenye hiyo orodha yenu nina mke mmoja tu.
Usiwe mbishi we jamaa.
Na huu ni udhihirisho wa ujinga ambao uko nao JUU YA JAMBO HILI.
Ishu ni tamaa zako za mwili.
Wanasema nature mwanamke akiwa katika siku zake za ovulation anakuwa na hamu sana na kuna watu wanaeneza propaganda kwamba hawezi kustahamili lazima atafute mtu ampige mshawasha tu.
Je unataka kutuambia kwamba kila ovulation ya mwanamke hapa duniani lazima atafute mtu ampige mshawasha sio ?
wengi wape, na kauli ya wengi Ni kauli ya Mungu. Jizungushe lakin alichoongea jamaa ndio uhalisia wenyewe 99%Yani ukijiona unaamini kwamba "hakuna mwanaume mwenye mke mmoja" basi jua wewe ni mjinga unaelazimisha watu waamini unachokifanya wewe.
Usitake kuwalisha sumu mbaya wanawake waanze kuwa na hofu na waume zao.
Kwani haitoshi kusema kwamba nature ni mwanaume anaweza kuwa na wake wengi lakini sio lazima kila mwanaume aishi kwenye nature hiyo.
Mnasambaza ujinga sana kwa wanawake.
Wapo wanaume hawana habari na kuwa na mademu wengi japokuwa wanawaona wazuri zaidi ya wake zao lakini hilo hata wanawake pia wanawaona wazuri zaidi ya waume zao.
Kama ambavyo nature ya mwanamke ni kuzaa lakini wapo ambao hawazai,sasa usilazimishe kusema kila mwanamke atazaa au anazaa wengiine hawazai eidha kwa dharura au kutaka wenyewe.
Kutaka kuwaaminisha kwamba kila mwanaume lazima awe na wanawake wengi ni ujuha unaopaswa kupigwa vita.
Hakuna anaekataa kwamba nature iko hivyo lakini kinachokataliwa ni kuwa sio kila mmoja kwamba lazima afuate nature hiyo.
Ziko nature nyingi sana lakini wengine hawaendi sambamba nazo,usijaze watu ujinga kwamba lazima "KILA MWANAUME"
Kuna wanawake wametulia na waume zao wakiinjoi maisha acha kuwa na negativity kiasi hiki.
Usilazimishe kwamba lazima kwa kkla mwanaume iwe hivyo,sema kwa wanaume wengi iiko hivyo,uwingi sio kwamba ni wote.
Badili mitazamo yako aisee.
mwanamke hatafuti, anatafutwaSasa kwa wanawake ambao walipita na wanaume kadhaa kabla ya kuolewa unataka kusema nao ni nature yao kutokuridhika na mwanaume mmoja hivyo wanahitaji wanaume wengi au sivyo ?
Dah...Mwanaume mwenye mwanamke mmoja ni yule mwenye changamoto.....aidha ya kiuchumi au ya nguvu za misuli......ukweli mchunguHaijalishi kuwa wewe ni dini gani, kabila gani, una kazi gani na cheo gani hapa duniani mfumo wa uzazi wa mwanaume unafanana Na mifumo ya uzazi ya wanaume wengine wa viumbe vingine, hasa wale wenye uti wa mgongo (vertebrate) Na wanaonyonyesha (mamalia).
Viumbe walioko kwenye kundi hili wanaume wanakuwa wachache kuliko wanawake kwa sababu mbalimbali za kabla ya kuzaliwa, wakati wa kuzaliwa na baada ya kuzaliwa. Hivyo wanaume wamepewa uwezo mkubwa wa kutamani Na Kumudu kutembea Na kuzaa Na wanawake wengi kwa wakati mmoja.
Kama mfugaji anavyohitaji majogoo, mabeberu, madume wachache kwa majike wengi bandani au zizini ndivyo hivyohivyo unavyohitaji mwanaume mmoja kwa wanawake zaidi ya mmoja, na hiki kinafanyika utake usitake, ujue usijue, uambiwe ausiambiwe.
Kiuhalisia wanyama wote akiwemo binadamu wana wivu mkubwa, hawapendi kuchanganywa, lakini kama kila mume angebaki na Mke mmoja yafuatayo yangetokea kwenye jamii:
1. Wanawake wengi wasingepata mabwana, wangebaki bikra.
2. Hasira na chuki kwenye jamii ingekuwa kubwa.
3. Sonona, depression ingekuwa kubwa.
4. Population, idadi ya watu ingepungua.
5. Idadi ya watu wanaozaliwa na hitilafu ingekuwa kubwa sana.
6. Wanawake wangebweteka sana hadi kuwa wachafu, wavivu, na wajeuri kupindukia.
7. Wanawake wangeuana wenyewe kwa wenyewe ili wapate nafasi itakayoachwa wazi.
Asitokee mwanamke atakaejigamba kuwa yuko peke yake, hata wanaume pia kwa kiasi Fulani.
Kinachotofautiana ni idadi ya wanawake alionao mwanaume na kiwango cha kujificha, usiri mkewe au mumewe alichokuwa nacho.
Jamii ihalalishe ndoa za wake wengi ili iwe huru badala ya kuendesha mambo kwa kificho.
Waislam wenye wake zaidi ya mmoja hawachepuki kabisa?Mungu ameruhusu ndani ya Qur'an kuoa mke zaidi ya mmoja (4), Mungu kisha amuru sasa unataka nani mwingine aamuru??---- Uisilamu raha sana.[emoji1787]
Hata beberu asiyekuwa na akili nyingi kama binadamu hawezi kummiminia shahawa zake mbuzi mwenye mimba, embuse yule mwanaume mwenye mke mmoja tu, bila shaka mwanaume wa aina hii anaweza kutembea na mke wake huyo hata akiwa kwenye hedhi, akiwa na mimba, akinyonyesha au hata akiwa mgonjwa.Wapendwa hii ni nature tukubali tukatae, kama kuna miongoni mwetu tuna mke mmoja haimaanishi ndo hivyo hapana ni ulemavu wetu mimi na wewe lakn haiwezekani kabisaa, na hii sio kwa binadamu tu ni kwa kiumbe yeyote wa kiume,
HUO UMBEA BRO!😁 MWANAMKE MMOJA ANATOSHA KINACHOTAKIWA NI KUPAMBANA NA TAMAA YAKO.
Kabla ya kujihakikishia hivyo kwa mumeo waangalie kwanza rafiki zake, kaka zake, baba zake wadogo, baba yake na babu zake mumeo. Kisha waangalie kaka zako, wajomba zako, baba zako wakubwa na wadogo, baba yako na babu zako wewe. kama hawana michepuko basi hata mumeo inawezekana pia hana mchepuko maana "ike dissolve like" . wazungungu wanasema "nionyeshe rafiki/ndugu zako ili nikwambie wewe ni mtu wa aina gani"Mie kwa mume wangu nipo peke yangu!! Mtoe kwenye hiyo orodha yako. Sio kila mwanaume anaendekeza mihemko yake.