Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

Mpango wa Mungu ni kwamba Mungu ameumba wanaume ili majike yote ya nyiwa, nyumbu, samaki, watu, senene, tembo, simba, kunguni, nk yazae kwa wakati. Asitokee jike litakalokosa mbegu ya kumuwezesha kuzaa kwa wakati uliokusudiwa. Yaani kutunza mbegu kwenye korodani zako au kummwagia mbegu zako mama asiyezihitaji (ana bleed, ana mimba tayari, ana mtoto mchanga) wakati kuna mwanamke mahala anazihitaji ili kupata mimba ni kuingilia kazi ya Mungu. Siku zote tukumbushane kuwa sex sio kwaajili ya starehe bali kwaajili ya kuzaa tu.

Hivi utajisikiaje kama utakuwa na dume la ng'ombe kwenye zizi lako ambalo linampanda ng'ombe mmoja TU na kuwaacha majike wengine. Kama hutamuuza, utamchinja au utachukua mbegu zake ukawaingizie ng'ombe wengine kwa njia ya chupa (artificial insemination). Ndio maana maagizo ni nendeni kazaaneni muijaze dunia na sio kaoaneni.

Kuoa ni njia nyepesi TU ya kutaka kumiliki mwanamke hata kama una kasoro nyingi zilizokithiri. Yaani na wewe ulazimike kuwa na mwanamke na kuzaa watoto hata kama huna nguvu za kutosha, una magonjwa ya kurithisha, huna mbegu za kutosha au ni mgonjwa.

Kwa upuuzi huu ndio maana utakuta wanazaliwa watoto wengi wenye ulemavu wa kuzaliwa kama sickle cells, moyo, uzeruzeru, pumu, utaahira, kifafa, ukichaa, mtindio wa ubongo, nk kwasababu TU mama au baba analazimika kuzaa na mume/uke huyohuyo kwa kisingizio kuwa eti ni mkewe/mumewe. Mpango wa Mungu ni "survival of the fittest" yaani aliye na sifa, afya njema na nguvu ndiye azae ili watoto pia wawe na sifa, afya na nguvu kama wazazi wao.

Somo hapa ni wewe mama usikubali kuzaa na mume ambae hana sifa Bora, afya na nguvu, maana utazaa watoto wasio na sifa, afya na nguvu kama baba yao. Yaani usiolewi na mume mwenye au anaetoka kwenye ukoo wa watu wafupi kama hupendi watoto wafupi, kisukari, pumu, sickle cell, kifafa, shida za moyo, albino, nk. vinginevyo utaongeza uwezekano wa kuwa na watoto wenye sifa, afya na nguvu za baba Yao.

Ikumbukwe kuwa, hata wakati biashara ya utumwa ni wale watu ambao walikuwa na sifa, afya na nguvu ndio waliokuwa wakinunuliwa kwa bei kubwa.
 
Umeongea kweli mkuu maisha ni kuamua ni swala linalo wezekana hata mwanamke hawezi kuridhika na mwanaume mmoja ila anaamua kujitunza na kukulindia heshima
 
Maelezo yako haya ndiyo yanayoelezea kichwa cha habari: 'Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye'?
 
Maelezo yako haya ndiyo yanayoelezea kichwa cha habari: 'Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye'?
Je, nguvu zako za kiume, afya yako na uchumi wako unashindwa kuhudumia wanake wengine 2 au watatu hapo mtaani kwako ambao wanashida ya mwanaume na mahitaji ya lazima kama pedi, chakula, malazi na kupata ujauzito? Kwanini unatupa chakula hapo kwa mke mmoja? kwanini ule chakula kingi hapo kwa mke wako huyo kuliko kazi unayoifanya hadi unapata kitambi, overweight, pressure, kisukari? Mume anayefanyakazi kwelikweli za kiuchumi, kijamii na mapenzi(sex) hawezi kuwa na kitambi hata siku moja. Ukikuta mwanaume ana kitambi lazima ana shida kwenye sex, anafanya sex hafifu, isiyokubalika hata kwa mkewe.
 
Subutu kama wewe ni mme labda uwe na matatizo mkuu, ni 1 kwa elfu 1 ambapo naamini wewe haupo hapo, mwanaume kuwa na mkwe zaid ya mmoja ni hitaji la kimaumbile ukubali ukatae, naunga mkono uzi isipokua tusijiendekeze
Usitufananishe sisi na wewe, sisi wengine tumeridhika na mke 1. Usitusemeee wewe sio msemaji wetu
 
Wapendwa hii ni nature tukubali tukatae, kama kuna miongoni mwetu tuna mke mmoja haimaanishi ndo hivyo hapana ni ulemavu wetu mimi na wewe lakn haiwezekani kabisaa, na hii sio kwa binadamu tu ni kwa kiumbe yeyote wa kiume,
 
Hujaelewa hapa tatizo ni mwanaume sio mwanamke, ovulation inampataje mwanaume
 
wengi wape, na kauli ya wengi Ni kauli ya Mungu. Jizungushe lakin alichoongea jamaa ndio uhalisia wenyewe 99%
 
Sasa kwa wanawake ambao walipita na wanaume kadhaa kabla ya kuolewa unataka kusema nao ni nature yao kutokuridhika na mwanaume mmoja hivyo wanahitaji wanaume wengi au sivyo ?
mwanamke hatafuti, anatafutwa
 
Dah...Mwanaume mwenye mwanamke mmoja ni yule mwenye changamoto.....aidha ya kiuchumi au ya nguvu za misuli......ukweli mchungu
 
Mungu ameruhusu ndani ya Qur'an kuoa mke zaidi ya mmoja (4), Mungu kisha amuru sasa unataka nani mwingine aamuru??---- Uisilamu raha sana.[emoji1787]
Waislam wenye wake zaidi ya mmoja hawachepuki kabisa?
 
Wapendwa hii ni nature tukubali tukatae, kama kuna miongoni mwetu tuna mke mmoja haimaanishi ndo hivyo hapana ni ulemavu wetu mimi na wewe lakn haiwezekani kabisaa, na hii sio kwa binadamu tu ni kwa kiumbe yeyote wa kiume,
Hata beberu asiyekuwa na akili nyingi kama binadamu hawezi kummiminia shahawa zake mbuzi mwenye mimba, embuse yule mwanaume mwenye mke mmoja tu, bila shaka mwanaume wa aina hii anaweza kutembea na mke wake huyo hata akiwa kwenye hedhi, akiwa na mimba, akinyonyesha au hata akiwa mgonjwa.

Asilimia 70 ya mimba zinazotoka zinasababishwa na wanaume wanaotembea (sex) na wake zao wakiwa na mimba changa (chini ya miezi 3), 50% ya mimba zinazozaliwa kabla ya wakati wake (watoto njiti) zinasababishwa na wanaume wanaowapanda wake zao wakiwa na mimba kubwa (baada ya miezi 7 kwenda juu), asilimia 93 ya wa wajawazito wanaovunja chupa zao (hasa usiku) kabla ya uchungu wa kuzaa zimevunjwa na wanaume wao wakati wakisex na wake zao wanaokaribia kujifungua. Huu ni unyama wa hali ya juu kwa wanawake. Kwanini uzidiwe akili hata na mbwa?

Narudia tena MwenyeziMungu hapendi mume mmoja mke mmoja, kama angekuwa anamaanisha hivyo basi kila mimba ingekuwa ya watoto mapacha ya mke na mume, yaani idadi ya wanawake na wanaume ingelingana kabisa. Mungu amefanya hivyo kwa baadhi ya viumbe kama vile njiwa lakini sio kwa binadamu. Dini ni utaratibu tu wa wanadamu ili kutatua baadhi ya mambo yao ndani ya jamii lakini sio mpango wa Mungu hata kidogo
 
hii umeandika kufurahisha watu, mtoa mada yuko sahihi 100%. kama huna nguvu za kiume au huna pesa unashauriwa kuwa na mke mmoja tu. Na ulimkuta hana bikra poleni
HUO UMBEA BRO!😁 MWANAMKE MMOJA ANATOSHA KINACHOTAKIWA NI KUPAMBANA NA TAMAA YAKO.
 
Mie kwa mume wangu nipo peke yangu!! Mtoe kwenye hiyo orodha yako. Sio kila mwanaume anaendekeza mihemko yake.
Kabla ya kujihakikishia hivyo kwa mumeo waangalie kwanza rafiki zake, kaka zake, baba zake wadogo, baba yake na babu zake mumeo. Kisha waangalie kaka zako, wajomba zako, baba zako wakubwa na wadogo, baba yako na babu zako wewe. kama hawana michepuko basi hata mumeo inawezekana pia hana mchepuko maana "ike dissolve like" . wazungungu wanasema "nionyeshe rafiki/ndugu zako ili nikwambie wewe ni mtu wa aina gani"
 
Mwishoni umeharibu bwana mkubwa. Mzee Mswati alikuwa bado anaendelea kuoa,, wengi hatuna uwezo huo sababau ya kipato.
Uwezo wetu ni Mwaka huu Mwajuma , mwakani Vero,, kulingana na kwamba budget inaruhusu idadi kidogo ya wanawake kuliko mahitajio kwa wakati mmoja.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…