kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Jamani nimifano lazima atoe ili mengine yafanyike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aminapolesana sana kwakweli ,CHADEMA ni mpango wamungu
Traveler amerejea....Ndugu zangu,
Maajabu hayaishi,miaka michache iliyopita Mbowe alinifaika na ongezeko kubwa la ruzuku kila aliposhauriwa ajenge ofisi yeye na wasaidizi wake walitoa maneno makali eti "chama cha siasa sio jengo au nyumba bali ni imani".Makamanda badala ya kuhoji walishangilia kwa furaha wakijinasibu kuwa "siasa kwao si ofisi bali ni imani.Pia ikumbukwe shilingi milioni 200 zilizotolewa na Mzee Sabodo kujenga ofisi ziliyeyuka bila maelezo.Nani atawaamini tena Chadema?
Siku za karibuni amezindua kadi zenye hadhi tofauti huku ile ya hadhi ya juu ikiwa na thamani ya shilingi 200,000 huku akijinasibu kuwa makamanda hawana mshahara kwa miezi sita nani ataweza kuchangia?ikumbukwe EL ndiye alikuja na wafuasi waliokuwa na uwezo angalau kuchanga chochote lakini sio makamanda hawa tunawajua.
Halafu Mbowe alivyomjanja haya mambo ya kuchangia chama au ujenzi wa ofisi anazungumza akiwa Shinyanga anajua akizunguza haya maneno Moshi au Arusha ataambulia vitasa.
Nimalize kwa kusema "ajizi nyumba ya njaa"
Mmakonde lini mnazindua MAANDAMANO jijini Dar es salaam ?!!!Hujawahi kuwa na hoja wewe mdangaji
Hakuna mtu mwenye akili anayeweza kusikiliza na kuamini upotolo wako
Hiyo mipya kwani bado kuionaNimemsikia Freeman Mbowe Mara kadhaa katika ziara zake amejikita sana katika kukosoa utawala wa HiyoMwendazake Magufuli kuliko kujikita katika current issue za sasa.
Mbowe ameenda mbali zaidi kiasi cha kutetea ukanda flani huku akijua vyema hizo ajenda zinamshushia alama za kiongozi mwenye focus na umoja wa kitaifa na mahikamano.
Vyovyote Magufuli alivyokua kwa hadhi ya Mbowe hakupaswa kuzunguka kuyasema madhaifu yake kwani kwa cheo chake Marehemu si ajenda tena, Magufuli hawezi kurudi na hata kwa aliyoyafanya umma hauwezi kumwadhibu maana hana ijara tena katika ulimwengu huu.
Mbowe kazi ya kusema mambo ya hayati tuachie sisi watu wa mitandaoni kwa nafasi yako hayatakusaidia. Njoo na mikakati mipya na ajenda mpya za sasa Kama chama ili wananchi tutembee nazo.
Kama utawala wa I do Amin,Nimemsikia Freeman Mbowe Mara kadhaa katika ziara zake amejikita sana katika kukosoa utawala wa Mwendazake Magufuli kuliko kujikita katika current issue za sasa.
Mbowe ameenda mbali zaidi kiasi cha kutetea ukanda flani huku akijua vyema hizo ajenda zinamshushia alama za kiongozi mwenye focus na umoja wa kitaifa na mahikamano.
Vyovyote Magufuli alivyokua kwa hadhi ya Mbowe hakupaswa kuzunguka kuyasema madhaifu yake kwani kwa cheo chake Marehemu si ajenda tena, Magufuli hawezi kurudi na hata kwa aliyoyafanya umma hauwezi kumwadhibu maana hana ijara tena katika ulimwengu huu.
Mbowe kazi ya kusema mambo ya hayati tuachie sisi watu wa mitandaoni kwa nafasi yako hayatakusaidia. Njoo na mikakati mipya na ajenda mpya za sasa Kama chama ili wananchi tutembee nazo.
Wewe sii tuu adui ya hao ,bali ni adui wa Taifa.Tukisema muda umemtupa huyo kamanda na analazimisha gemu
Tunaonekana maadui.
Nimemsikia Freeman Mbowe Mara kadhaa katika ziara zake amejikita sana katika kukosoa utawala wa Mwendazake Magufuli kuliko kujikita katika current issue za sasa.
Mbowe ameenda mbali zaidi kiasi cha kutetea ukanda flani huku akijua vyema hizo ajenda zinamshushia alama za kiongozi mwenye focus na umoja wa kitaifa na mahikamano.
Vyovyote Magufuli alivyokua kwa hadhi ya Mbowe hakupaswa kuzunguka kuyasema madhaifu yake kwani kwa cheo chake Marehemu si ajenda tena, Magufuli hawezi kurudi na hata kwa aliyoyafanya umma hauwezi kumwadhibu maana hana ijara tena katika ulimwengu huu.
Mbowe kazi ya kusema mambo ya hayati tuachie sisi watu wa mitandaoni kwa nafasi yako hayatakusaidia. Njoo na mikakati mipya na ajenda mpya za sasa kama chama ili wananchi tutembee nazo.
Historia ya kuifanya chato kuwa jiji.Umenena vema!
Magufuli watasoma watoto kwenye somo la Historia!
Kiongozi makini huongoza siyo kwa kulalamikia yaliyopita aangazie ajenda mpya na aonyeshe njia. Habari ya mwendazake haina political mileage kwa vile ni kumuonea kwa vile hayupo na hawezi kujibu mapigo. Hii ya Mbowe ni kuishiwa hoja na kujidhalilisha.Hakuna kosa lolote kisheria kumsema marehemu iwe vibaya au vizuri, ndio maana akina Nyerere, mitume kama Yesu Muhammad nk wanasemwa vizuri na vibaya.
Mbowe kaumizwa sana na utawala wa mwendazake mwacheni apumue apate ahueni, kwa upande mwingine anasaidia kueleza ubaya wa mwendazake amabao ulifunikwa na propaganda za uongo na kuonya utawala uliopo kutorudia makosa yaliyopita.
Tunatambua wafuasi wa Magufuli ampendi kuona magufuli akisemwa vibaya na watu makini Kama mbowe, kwa hiyo nyinyi fanyeni mambo yenu na mbowe muacheni na mambo yake, kwani akiaribikiwa yanawahusu nini?.
Mbowe ilipasa sasa apumzike maswala ya siasa, saizi kabaki kubwabwaja tu.Mbowe amejishushia sana heshima
Uwezo wa kuja na hiyo mikakati mipya na ajenda mpya atautoa wapi? Chadema ilikuwa na uwezo huo enzi za Slaa na Mkumbo, toka wameondoka chama kimekuwa kama kichwa cha mwendawazimu, kila mtu anafanyia majaribio ya akipendacho. Lisu akaja na ushogeshwaji, mbowe sasa kaja na ukabila. Too bad!Mbowe kazi ya kusema mambo ya hayati tuachie sisi watu wa mitandaoni kwa nafasi yako hayatakusaidia. Njoo na mikakati mipya na ajenda mpya za sasa kama chama ili wananchi tutembee nazo