Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Yaani we acha tu.....Sio siri ameongea vitu vya kufedhehesha sana km Kiongozi
Maneno yake yana athari hasi mno....
Asitumie kabila kufikia malengo yake ya kisiasa....
Wachaga wako serikalini ,taasisi binafsi ,katika ndoa na hao wasukuma anaowalalamikia,Wala hawahusiki na "pang'ang'a zake" zinazoshangaza.....
Wanasiasa muflisi wanapenda sana KUTENGENEZA mapicha ya UKANDA ,UKABILA NA UDINI.....
Ninaamini mh.Mbowe ni MZALENDO na atajirudi kwa kuomba msamaha ili heshima yake iendelee kuwa JUU.....
#KaziIendelee