Kwanza ninaamini Hana ushahidi wa anachokisema,
Pili, amekuwa na siasa za chuki na kichochezi zisizovumilka kwa kila mtanzania mwenye akili timamu na mwenye kupenda amani na utulivu
Tatu, mpeni miezi mitatu tu Mbele, tayari itajidhihirisha kwamba dishi lilishaanza kuyumba kitambo tu, si bure hapo alipo
Na kama JPM kama anavyodai bwana Mbowe kwamba alikuwa na agenda ya Siri kuhakikisha kwamba Sisi wachaga hatupati ajira serikalini, na wakati Mimi nimepata ajira yangu miaka mitatu tu nyuma Kwa serikali hiyo anayosema wachaga hawakutakiwa kupewa ajira na serikali ya JPM, huo ni uwongo, Kwa vile yeye anadai serikali ya JPM ilikuwa na agenda mbaya Kwa wachaga tena Ni kwa Siri, ameshindwa nini naye kulifanya Jambo hilo kuwa ni la Siri Kwa sababu Kwa kufanya hivyo, litatuweka kwenye Amani Yetu na kudhihirisha hekima ya bwana Mbowe na kama mkongwe wa siasa za kimageuzi nchini??
Kwa nini yeye atamke waziwazi Mbele ya kada mnasi na wakati huohuo akijua aliyekuwa akifanya Jambo Hilo tayari hatuko naye duniani, amejiuliza taharuki inayoweza kutokea ambapo hata mwenye chuki na wachaga hayuko duniani,
Bwana Mbowe atapata faida ipi Sisi wachaga Tulianza kunununiana na wasukuma ili Hali mgombanishi wetu hayupo?
Kwa nini hakutaja kulimeza Hilo Jambo ambalo Kwanza ninauhakika [emoji817]% sio Kweli Bali chuki zake tu zilizosababishwa na ukwepaji Kodi wake?
Ogopa Sana mwanasiasa anapoelekea mwisho wa umarufu wake na mwisho wa kukubalika kisiasa, huamua hata kuchonganisha jamii ili ajipatie umarufu wa kijinga na kipumbavu kama anavyotaka kufanya huyu mkongwe wa siasa za upinzani aliyejizolea umaarufu kipindi cha JK.
Mbowe anaelekea kubaya, mpeni miazi yake mitano tu muone anavyovurugikiwa kichwani!!
Mbowe hawezi kuongoza watu wa Kada mbalimbali kutoka pande za Tanzania, Isipokuwa Uongozi wake inafaa aongoze watu wa kanda yake
Anasema maneno magumu Mbele ya wasukuma ambao nao wamo ndani ya Chama chake??
Hao wasukuma waliomo chamani kwake wanajisikiaje kusikia eti utawala uliokuwepo wachaga pekee hawakupewa ajira, Wakati kina mnyika mpaka Leo hii hata mishahara hawalipwi na chadema Kwa muda sasa, Magufuli kama msukuma, alishindwa nini kumfuata mnyika ili ampe hata ukurugenzi Kwa kuwa ni msukuma?
Mambo ya kipuuzi Sana haya