Habari wana bodi.
Siku ambayo aliyekuwa mbunge wa jimbo la Hai na mwenyekiti wa Chadema ameachia ngazi ya uenyekiti wa Chadema iwe kwa hiari yake au kwa kuitwa na Mungu ,basi siku hiyo itakuwa ya furaha sana ndani ya Chadema na nje ya Chadema.
Freeman Mbowe ametuhumiwa kwa udikteta uriokithiri ndani ya chama hadi kupelekea akina Kitila Mkumbo, Zito Kabwe , Mwita Waitara, Edward Lowasa, Sumaye etc kuondoka ndani ya chama hicho. Mbowe anaamini yeye ndiyo mwenye akili kupita wote chadema hadi alifikia hatua ya kumwambia Sumaye alipogombea uenyekiti wa chama kuwa sumu haionjwi.!!!
Kama Mbowe ana nyama na damu inayozunguka mwilini mwake bila shaka mwisho wake upo ndani ya Chadema na siku hiyo itakuwa ya furaha sana kwa wapenda demokrasia nchini.