Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

Status
Not open for further replies.
Traveler amerejea....

Janjajanja tu juu ya "saccos" yake....

AMEZOELEKA....

#KaziIendelee
 
Kweli kabisa sasa wanasiasa Wajikite kwenye kuelezea na kupatia suluhisho matatizo ya Watanzania.

Bei ya mazao yao,Ajira, biashara,madaraja ,barabara nk.
Chadema kiache uharakati kifanye siasa,siasa zinazohusu watu.
 
Hiyo mipya kwani bado kuiona
 
Kama utawala wa I do Amin,
Lazima issue ya Magufuli idadavuliwe, isijetokea tena raha wa Burundi kutawala Tanzania.

It was a sad chapter, na hayajaongelewa yote .
 
Sasa chadema wameishiwa hoja wanaanza kuja na hoja za ukabila wanataka kutengeneza tension ya wachaga na watu wa kanda ya ziwa wajiandae tu
 
Tukisema muda umemtupa huyo kamanda na analazimisha gemu

Tunaonekana maadui.
 
Magufuli alikuwa ni rais wa nchi, ambaye automatic alikuwa mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu na mwenyekiti wa CCM Taifa. Kwa vyeo vyake na matendo ya serikali yake huwezi kukwepa kumzungumza. Ikumbukwe utawala wa awamu ya sita unavina saba na utawala wa awamu ya Tano.
Magufuli alikuwa ni raia namba moja, hivyo ni lazima asemwe kwa mazuri na mabaya, hakuwa Mungu bali alikuwa binadamu ingawa alijitofautisha na sifa za kibinadamu.
Magufuli kwa kuwa mwanadamu ana mabaya yake, katika mazuri yake alikuwa anatimiza majukumu yake ya urais.
Hata Yesu Kristo pamoja na kuwapa mikate wafuasi wake pamoja na kila walichotaka. lakini walimsema na wapo waliomsaliti na kumkataa.
 
Nilimsikiliza Mbowe, kiukweli bado ana dude linamkereketa moyoni kutokana na anguko la kuukosa ubunge

Ubunge ni fursa kubwa sana kwake kuliko hata kudorora kwa biashara zake, pía anguko la ruzuku ni pigo jingine takatifu ktk chama chake ukizingatia ile pesa ya ruzuku alikuwa anapiga panga percent fulani kwa kujilipa kwa madai ya kwamba huwa anakidai chama kutokana na Gharama binafsi anazo changia chama

Hvyo ushauri wangu bw Mbowe, anza kufocus ktk kuleta speech zenye kudeal na current issues sio past, kuendelea kumsema vibaya Hayati ni kupoteza muda,, na pía inaonesha kama Chama hamkujipanga vizuri ktk hio mizurulo unayoiita ziara
Labda kama lengo za hizo ziara ni kupiga posho kutoka chamani, lakini kiukweli hamjajipanga kabisa ktk hoja za kuwasilisha
 

Anasema kile wafuasi mnapenda kusikia. Anawapa mkipendacho kwa sababu ndio kariba yenu ilipoishia. Mi naomba aendelee hivyohivyo hadi mtakapotosheka.
 
Kiongozi makini huongoza siyo kwa kulalamikia yaliyopita aangazie ajenda mpya na aonyeshe njia. Habari ya mwendazake haina political mileage kwa vile ni kumuonea kwa vile hayupo na hawezi kujibu mapigo. Hii ya Mbowe ni kuishiwa hoja na kujidhalilisha.
 
Mwendazake hata CCM yenyewe karibia 70% walishamchoka....kiongozi gani anataka kuongea yeye tu miaka 6 wengine hapana, akaidharau corona ikamfanyia yake!!
 
Mbowe kazi ya kusema mambo ya hayati tuachie sisi watu wa mitandaoni kwa nafasi yako hayatakusaidia. Njoo na mikakati mipya na ajenda mpya za sasa kama chama ili wananchi tutembee nazo
Uwezo wa kuja na hiyo mikakati mipya na ajenda mpya atautoa wapi? Chadema ilikuwa na uwezo huo enzi za Slaa na Mkumbo, toka wameondoka chama kimekuwa kama kichwa cha mwendawazimu, kila mtu anafanyia majaribio ya akipendacho. Lisu akaja na ushogeshwaji, mbowe sasa kaja na ukabila. Too bad!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…