Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Kweli ni jambo zuri kama wanataka kumpa ardhi mwekezaji amiliki, ila ningependeza umiliki wake uwe wa kikomo. .
Pia waarabu wametawala Zanzibar, ingependeza wangegawia ardhi au kumegewa kule zanzibar hata mji mkongwe ingeleta maana zaidi. Imagine kuwe na mbuga Zanzibar, itakuwa kivutio kikubwa sana. Hii itawafanya wapemba wawe kivutio kama walivyo wamasai kule Ngorongo. Na wazanzibari wanawapenda sana waarabu haitoleta shida, just thinking outside the box. .