Huyo mzee yuko wapi siku hiz? Naona laana zinamtafuna mwanae lengaiBaba yake Sabaya aliwahi kuwa DC wakati wa Hayati Mzee Mkapa …hakubembeleza bembeleza kama kina Samia mara sijui kujengea nyumba sijui makazi bora …yeye aliamka asubuhi na kutia kiberiti nyumba zote zilikuwa Serengeti wakati huo
Wawekezaji wanawekeza sehemu inayoendena na uwekezaji waoKweli ni jambo zuri kama wanataka kumpa ardhi mwekezaji amiliki, ila ningependeza umiliki wake uwe wa kikomo. .
Pia waarabu wametawala Zanzibar, ingependeza wangegawia ardhi au kumegewa kule zanzibar hata mji mkongwe ingeleta maana zaidi. Imagine kuwe na mbuga Zanzibar, itakuwa kivutio kikubwa sana. Hii itawafanya wapemba wawe kivutio kama walivyo wamasai kule Ngorongo. Na wazanzibari wanawapenda sana waarabu haitoleta shida, just thinking outside the box. .
Kwa nini usiwatoe na kuacha kama milki ya watanzania why ulete mwekezaji kwenye hifadhi ya taifa? Mmeshindwa kuingiza watalii kupitia royal tour hadi mkabidhi waarabu?Tunafanya hivi mkuu kwa maslahi ya umma wa watanzania na vizazi vyetu vijavyo tukiacha kufanya hivyo ngorongoro haitakuwepo Tena miaka michache mbele
Royal tour imesaidia Sana watalii Wanamiminika, tunataka kuwekeza ngorongoro kisasa ili watalii wakifika tuwe na sehem nzuri ya kuwahifadhiKwa nini usiwatoe na kuacha kama milki ya watanzania why ulete mwekezaji kwenye hifadhi ya taifa? Mmeshindwa kuingiza watalii kupitia royal tour hadi mkabidhi waarabu?
Mbali na kuwa craterWawekezaji wanawekeza sehemu inayoendena na uwekezaji wao
Awe uraiani au kokote laana imesha mwandama. Ni criminalLengai Hana laana hizi kesi zake ni za mchongo na kisiasa mda si mrefu atakuwa uraiani Kama gaidi MBOWE ameachiwa sembuse sabaya
Wewe NI miongoni wa watanzania wazalendo na wenye maono ngorongoro lazima ilindwe kwa nguvu zoteWanao wahamasisha wamasai kufanya fujo plan yao haiwezi kufanikiwa wanajisikiaje baada ya kutuulia nguvu kazi yetu na zoezi kuweka alama likiendelea kama kawaida.Tunawashauri waache lengo la kuokoa hifadhi ya ngorongoro ni kwa nia njema kabisa ili watoto wetu na wajukuu zetu hapo baadae wanafuike na rasilimali za nchi yao.
Wawekezaji hawajachagua zanzibarMbali na kuwa crater
Wamasai ni kivutio kikubwa cha utalii
Especially the way they interact with animals
Living amongst animals
Kuna zoos kuna national reserve za kutengeneza kabisa na kuhamishia wanyama
Maoni yangu wangepeleka Zanzibar ingekuwa kivutio zaidi, think about it. .
Sa hivi hakuna sehemu ya kuwahifadhi? Mnawaondoa wazawa ili muwape wageni wawinde wanyama tu. Waondoe halafu livalie mwenyewe km serikali.Royal tour imesaidia Sana watalii Wanamiminika, tunataka kuwekeza ngorongoro kisasa ili watalii wakifika tuwe na sehem nzuri ya kuwahifadhi
KiLa kaya Moja imepewa nyumba serekali haiwezi kutoa nyumba mpaka kwa watotoKwa hiyo hawataki kutoka sababu huko Handeni nyumba haziwatoshi?
Wanajua ni kwao na rais hawawez kuondoa wazanzibar, wamasai wanatimliwa ili waarabu waje kupiga mema ya nchi isiyokuwa ya kwao.Wawekezaji hawajachagua zanzibar
Mbona hili la wamasai wengi ni member wapya? Mmetumwa kuja kutetea waarabu kula mema ya taifa hili?KiLa kaya Moja imepewa nyumba serekali haiwezi kutoa nyumba mpaka kwa watoto