mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
- Thread starter
-
- #21
Hapo mzazi uko vizuri! Tatizo Kuna Wazazi hulipa robo robo! Hao ndio walikuwa na mawazo ya kupotezea kulipa robo ya pili (April -june).Kwani kuna watu walitaka walipe ada nusu? Mimi nililipa ada Januari ya miezi 6 nusu mwaka..mwezi wa tatu Covid 19 ikaingia sasa hivi nasubiria nilipe ya nusu mwaka uliobaki maisha yaendelee...
Huwezi kfundisha mtoto masomo ya sasahivi na masomo yaliyopita nikudanganyana tu hapoHapo itakuwa huna deni. Utalipa tu mhula wa pili. Tatizo ni kwa wake ambao hulipa kwa awamu mbili kwa kila mihula. Alilipa awamu ya Kwanza Jan hadi March. Awamu ya pili April hadi June hakulipa na shule zikafungwa! Hao ndio wanataka wasilipe kwa kuwa watoto hawakufundishwa! Lakini like ambacho hawakufundishwa lazima kitafidiwa! Utata uko hapo!
Mkuu, kwasababu umekiri wazi kwamba hauna mtoto anae soma St. Whatever.....Kama ni hivyo mbona waalimu waalimu wa shule binafsi walikua hawalipwi mishahara yao hali iliyopelekea moaka bunge likaingilia kati kuitaka serikali iwasaidie walimu hao ili wapate pesa ya kujikimu ?? Kwa mm binafsi ninhekua na mtoto anasoma hizo shule binafsi nisingelipa na tungepelekana popote pale kwa sababu hainingii akilili eti kutengwe muda ili wafundishwe sirabasi zote hapo tunadanganyana katika kipundi cha miezi mitatu kuwa likizo Leo uniambie yatafundishwa madomo yote huku ukiwa umebaki muda mchache mwaka upinduke
Minadhani busara itumike tu kwenye hili, lakini kuhanisha mtoto shule sio suluhisho.wamiliki wa shule wanatakiwa kutumia busara Sana wakati huu vinginevyo watu watahamishaSana watoto wao
Unaibiwa...Kwani kuna watu walitaka walipe ada nusu? Mimi nililipa ada Januari ya miezi 6 nusu mwaka..mwezi wa tatu Covid 19 ikaingia sasa hivi nasubiria nilipe ya nusu mwaka uliobaki maisha yaendelee...
Hapo ungehamisha mtoto umpeleke shule ya serikali. Wakati unashughulikia uhamisho mtoto angekuwa hahudhurii masomo.Kama ni hivyo mbona waalimu waalimu wa shule binafsi walikua hawalipwi mishahara yao hali iliyopelekea moaka bunge likaingilia kati kuitaka serikali iwasaidie walimu hao ili wapate pesa ya kujikimu ?? Kwa mm binafsi ninhekua na mtoto anasoma hizo shule binafsi nisingelipa na tungepelekana popote pale kwa sababu hainingii akilili eti kutengwe muda ili wafundishwe sirabasi zote hapo tunadanganyana katika kipundi cha miezi mitatu kuwa likizo Leo uniambie yatafundishwa madomo yote huku ukiwa umebaki muda mchache mwaka upinduke
Waalimu hawakulipwakwa sababu Wazazi hawakuilipa ada. Wakilipa Ada waalimu watalipwana watafidia.Hapo umeongelea na kuegemea zaid kwenye kumaliza maada zilizosalia kwa kipindi cha Corona na kujaribu kuonyesha ulazima wa kulipa pesa, lakini hujaonyesha uhalisia wa namna wanafunzi watakavyozielewa mada hizo katika uwingi wake! Hata kama walimu watazicover zote lakini uelewa wa wanafunzi hautakuwa sawa na ambavyo wangefundishwa mada hizo katika kipindi cha ile miezi ya March hadi June! Hapa shule zinaogopa tu gharama za kuwarudishia wazazi pesa ambayo haikuwa na matumizi , kwahiyo wanajaribu kujenga hoja ya kuwalazmisha wazazi wengine kulipa pesa hizo, lakini kiuhalisia pesa hizo si chumo halali kwa vyovyote itakavyokuwa! Wamiliki wengi wa shule binafs walikataa kuwalipa mishahara wafanyakazi wao kwa madai kuwa hawapo kazini sasa leo wanawadai wazazi pesa ya kazi ambayo walimu hawakufanya!?
Gharama ambazo mzazi hapaswi kulipa ni gharama za chakula na usafiri kipindi Cha likizo ya dharula.
Wewe utakuwa unaishi kwa shemeji yako sio bure,serikali yenyewe inakopa nje kwa ajili ya kusaidia baadhi ya mambo kuiendesha serikali sembuse sie wanyongeUkiona mzazi analialia kuhusu kulipa ada jua kuwa huko aliko mpeleka mwanae sio level yake anatakiwa ampeleke shule za serikali huko hakuna ada.
Na ukifuatilia shule nyingi hilo jambo limeondolewa halipoGharama ambazo mzazi hapaswi kulipa ni gharama za chakula na usafiri kipindi Cha likizo ya dharula.
Wewe utakuwa mmoja wa naolilia kuhusu ada, mpeleke mwanao st. kanumbaWewe utakuwa unaishi kwa shemeji yako sio bure,serikali yenyewe inakopa nje kwa ajili ya kusaidia baadhi ya mambo kuiendesha serikali sembuse sie wanyonge