Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,652
- 5,635
Si bora ya mie ninayejua tabu ya ulipaji wa ada,sasa wewe utaishi kwa shemeji yako hadi lini ?Wewe utakuwa mmoja wa naolilia kuhusu ada, mpeleke mwanao st. kanumba
Si bora ya mie ninayejua tabu ya ulipaji wa ada,sasa wewe utaishi kwa shemeji yako hadi lini ?Wewe utakuwa mmoja wa naolilia kuhusu ada, mpeleke mwanao st. kanumba
Ungekuwa unajua tabu ya ulipaji wa ada na umuhimu wa elimu kwa mwanao usingelilia hapa mpeleke mwanao apate elimu. Kuhusu kuishi kwa shemeji ondoa shaka nipe dada yako nioe ili uishi kwa shemejioSi bora ya mie ninayejua tabu ya ulipaji wa ada,sasa wewe utaishi kwa shemeji yako hadi lini ?