Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,635 Jun 22, 2020 #41 GPP1922 said: Wewe utakuwa mmoja wa naolilia kuhusu ada, mpeleke mwanao st. kanumba Click to expand... Si bora ya mie ninayejua tabu ya ulipaji wa ada,sasa wewe utaishi kwa shemeji yako hadi lini ?
GPP1922 said: Wewe utakuwa mmoja wa naolilia kuhusu ada, mpeleke mwanao st. kanumba Click to expand... Si bora ya mie ninayejua tabu ya ulipaji wa ada,sasa wewe utaishi kwa shemeji yako hadi lini ?
G GPP1922 JF-Expert Member Joined Sep 8, 2019 Posts 539 Reaction score 550 Jun 22, 2020 #42 Hajto said: Si bora ya mie ninayejua tabu ya ulipaji wa ada,sasa wewe utaishi kwa shemeji yako hadi lini ? Click to expand... Ungekuwa unajua tabu ya ulipaji wa ada na umuhimu wa elimu kwa mwanao usingelilia hapa mpeleke mwanao apate elimu. Kuhusu kuishi kwa shemeji ondoa shaka nipe dada yako nioe ili uishi kwa shemejio
Hajto said: Si bora ya mie ninayejua tabu ya ulipaji wa ada,sasa wewe utaishi kwa shemeji yako hadi lini ? Click to expand... Ungekuwa unajua tabu ya ulipaji wa ada na umuhimu wa elimu kwa mwanao usingelilia hapa mpeleke mwanao apate elimu. Kuhusu kuishi kwa shemeji ondoa shaka nipe dada yako nioe ili uishi kwa shemejio