Kivipi bwana kivuliTozo
NB; Mungu hadhiakiwi
Unataka kusemaje bwanaKila nikiangalia yanayoendelea katika uso wa nchi, napata sana mashaka na uwepo wa Mungu.
Kwakweli swala la kuwepo kwa Mungu ni uongo,
Kwakweli Mungu hayupo, Maisha yanaendeshwa na mazingira tu, wala siyo Mungu.Unataka kusemaje bwana
KISIWAGA Kazi ya Mungu si ya mwanadamu.. Matendo ya mwanadamu si ya Mungu..!Vita()
Ufisadi()
Tozo()
Mauaji()
Ukabila()
Uchawi()
Wizi()
Ukahaba()
Makafara()
Husda()
Usengenyaji()
Utapeli()
.
.
.
.
List goes on...
Ume kuja duniani kutestiwa, makazi yako ya kudumu ni peponi ama motoni.Vita()
Ufisadi()
Tozo()
Mauaji()
Ukabila()
Uchawi()
Wizi()
Ukahaba()
Makafara()
Husda()
Usengenyaji()
Utapeli()
.
.
.
.
List goes on...
Kuna msemo mmoja unasema Good scientist doesn't belive in God, Great scientist do.Kwakweli Mungu hayupo, Maisha yanaendeshwa na mazingira tu, wala siyo Mungu.
Kama unaelewa vizuri maana ya "Mazingira" hujisumbui mara mbili mbili kuhusu Mungu.
Mazingira ndiyo huamua kila kitu na siyo Mungu!
Siyo kwamba hapati burudani, yoooote hayo Mungu kakupa wewe utashi wa kuchagua JEMA ama BAYA, sasa kama wewe umechagua JEMA na mwenzako kachagua BAYA, mtashirikiana vipi kwenye meza moja kusukuma maendeleo ya aina yote ile??Inaonekana bila watu kuteseka Mungu hapati burudani
Hiyo ni kazi ya Mungu usisingizie utashi.Siyo kwamba hapati burudani, yoooote hayo Mungu kakupa wewe utashi wa kuchagua JEMA ama BAYA, sasa kama wewe umechagua JEMA na mwenzako kachagua BAYA, mtashirikiana vipi kwenye meza moja kusukuma maendeleo ya aina yote ile??
Changamoto ni kwamba, kwenye jamii yetu kuna michanganyo wa kutosha kiasi kwamba mengine yamekuwa shida kwa wengine na kwa wengine siyo shida
Mkuu Mungu ndo alikuwepo kabla ya chochote kwa mujibu wa imani.Hizo ni kazi za shetani
Huko kutest mnafananisha Mungu mkuu na mwadamu.Ume kuja duniani kutestiwa, makazi yako ya kudumu ni peponi ama motoni.
Unacholalamika hapa ni kama vile kwanini mitihani ni migumu. Mitihani ikiwa mirahisi utashindwa kutofautisha kilaza na kichwa.