Hakuna namna ya kumshurutisha Mungu ili aje arekebishe hizi 'bugs' zilizotokea kwenye uumbaji wake?

Hakuna namna ya kumshurutisha Mungu ili aje arekebishe hizi 'bugs' zilizotokea kwenye uumbaji wake?

Ila angewaondoa waganga, wachawi, wezi, majambazi dunia Ingekuwa sehemu salama sana aisee.

Hawa watu awatakiwi kabisa kuwepo duniani. Ndo chanzo cha matatizo yote.
 
Ila yote kwa yote ninamshukuru kwa kumuexit() yule haramia muuaji msiri wa Chattle
 
Kuna msemo mmoja unasema Good scientist doesn't belive in God, Great scientist do.

Scientist wakubwa wakubwa ambao wameacha alama kwenye Ulimwengu kama Einstein, Newton na wengineo wa naamini uwepo wa Mungu. Ila chawa wa hawa scientist sasa ndo wanajiona much know kweli, utasikia hakuna Mungu.

Vitu vingi duniani ngumu kumeza kuamini kwamba ni coincidence tu kutokea.

Na scientist wakubwa hata hawa wa ulimwengu wetu 2021 wakiulizwa kuhusu Mungu wataongea wee, mwisho wa siku conclusion ni we don't know.
Wakiulizwa kwanini hayo hayatokei kipindi hiki hawana majibu ya kueleweka. Though hata dini imwshindwa kudhihirisha maandiko. Mungu yupo lakini wa kwenye vitabu ametikiswa sana
 
Hiyo ni kazi ya Mungu usisingizie utashi.

Hata Pharaoh mapema tu alitaka kuwaachia wana wa Israel ila Mungu huyuhuyu akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu.

Tangu mwanzo imeonekana Mungu ni mwasisi wa uovu wote
Si kweli, aliufanya ule moyo kuwa mgumu ili ajitwalie utukufu machoni pa wana wa Israel kuwa uweza wake ni zaidi ya waganga wa kienyeji na wachawi.

Inamaana baada ya yale mapigo 10 kwa Farao hakupata nafasi ya kutubu ila alikataa yeye mwenyewe?
 
Si kweli, aliufanya ule moyo kuwa mgumu ili ajitwalie utukufu machoni pa wana wa Israel kuwa uweza wake ni zaidi ya waganga wa kienyeji na wachawi.

Inamaana baada ya yale mapigo 10 kwa Farao hakupata nafasi ya kutubu ila alikataa yeye mwenyewe?
Sasa huko si ndio anajifurahisha kwa kutenda ubaya ili wengine wafurahi?

Yeye anatutaka kulipa jema kwa baya ila cha ajabu yeye analipa ubaya kwa ubaya kama mtu mwenye msongo wa mawazo 😂😂😂

Kuwa na akili ya kuelewa pale ninapokwambia huyu Mungu anakula burudani kupitia mateso yetu
 
Kila nikiangalia yanayoendelea katika uso wa nchi, napata sana mashaka na uwepo wa Mungu.
Kwakweli swala la kuwepo kwa Mungu ni uongo,
Mimi sisemi ni uongo moja kwa moja, Ila something is not right somewhere. Haiwezekani kabisa yani yeye aangalie tu tunavyoishi taabu na shida plus dhiki hizi. Something is so not right!
 
Sasa huko si ndio anajifurahisha kwa kutenda ubaya ili wengine wafurahi?

Yeye anatutaka kulipa jema kwa baya ila cha ajabu yeye analipa ubaya kwa ubaya kama mtu mwenye msongo wa mawazo [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuwa na akili ya kuelewa pale ninapokwambia huyu Mungu anakula burudani kupitia mateso yetu
Labda hiyo mungu wako wa kwapani na kounoni(hirizi) ila si Mungu muumba mbingu na nchi na aliyeshikilia kila pumzi ya kiumbe chenye uhai.
 
Kila nikiangalia yanayoendelea katika uso wa nchi, napata sana mashaka na uwepo wa Mungu.
Kwakweli swala la kuwepo kwa Mungu ni uongo,
Hayo nimadogo mno Mungu kuingilia. Mungu anaingilia mambo makubwa kama dunia kugongwa na sayari nyingine ama kumezwa na manyota makubwa zaidi kuliko jua. Mungu analinda vitu vingi kiasi kwamba haya matatizo nimadogo sana kuyaona maana yananafasi chini ya 0.0000000000000000000000000000001 ya mambo yanayomkabili anayotakiwa kurekebisha. Jiulize kila nyota nijua na inamasayari huenda yakawa na viumbe na kuna matilioni ya manyota na yote anayalinda
 
Matokeo ya waswahili kuvemberwa wali maharagwe ndiyo haya.

UNAFKI NI KUWA:

Huyo huyo akibambwa kidogo tu na kaugonjwa alazwe nako pale Muhimbili Hospitalini utashangaa kila sekunde ni kumwomba huyu huyu Mungu aliyemkataa hapa JF [emoji28]
Anafanya hivyo coz mazingira ya makuzi yake yanamfanya awe hivyo, we're raised either Christians or Muslims, sasa ukuaji wetu katika dini na imani ndio unamfanya mtu arudi haraka huko kwa Mungu, but deep down kuna shida katika hii kitu.
 
Vita()
Ufisadi()
Tozo()
Mauaji()
Ukabila()
Uchawi()
Wizi()
Ukahaba()
Makafara()
Husda()
Usengenyaji()
Utapeli()
.
.
.
.
List goes on...
 
Ila angewaondoa waganga, wachawi,wezi, majambazi dunia Ingekuwa sehemu salama Sana aisee.
Hawa watu awatakiwi kabisa kuwepo duniani.Ndo chanzo cha matatizo yote.
Umezunguka Sana we ondoa pesa tu dunia isitumie kitu inaitwa pesa sijui kuvipa vitu thamani uone kama Patakuwa sio sehemu salama
 
Back
Top Bottom