Hakuna namna ya kumshurutisha Mungu ili aje arekebishe hizi 'bugs' zilizotokea kwenye uumbaji wake?

Hakuna namna ya kumshurutisha Mungu ili aje arekebishe hizi 'bugs' zilizotokea kwenye uumbaji wake?

Kwakweli Mungu hayupo, Maisha yanaendeshwa na mazingira tu, wala siyo Mungu.

Kama unaelewa vizuri maana ya "Mazingira" hujisumbui mara mbili mbili kuhusu Mungu.

Mazingira ndiyo huamua kila kitu na siyo Mungu!
Maybe Mungu ndo hayo mazingira
 
Kwanza unatakiwa kujua huyo Mnae/unae muita Mungu/mungu ni yupi? wa jina lipi? maana jina Mungu ni kama cheo cha mamlka na nguvu za kuabudiwa kwa viumbe vingine, kuna miungu mingii ya kila aina na kila majina, sasa unapomtaja mungu/Mungu unatakiwa kusema yupi? kwa ninavyojua Mungu wa waislam,wakristo,wahindy,wabudha, warastafali, wayahud na wa mila za kiafrika ni miungu tofaut ktk majina tofaut na uhusika tofaut, ndiomaana hata mafundisho yao na itikadi zao za imani ni tofauti..

Sasa unapoleta jambo la fulan lililo ktk uwezo ama nafasi fulan ya mamlaka unatakiwa kumjua na mhusika yaan Myngu yupi? unapozungumzia uislam utaongelea Allah unapozungumzia ukristo na unyakuo, utamzungumzia Mungu kristo ambye ktk uislam hatambuliki kama ni Mungu bali nabii so how come? unataka kuzungumzia jambo la ulimwengu mzima kwa kutaja cheo cha uungu bila kumtaja muhusika yupi? ilo ni tatizo.

kuzungumzia uumbaji wa wa ulimwengu na viumbe vyote unatakiwa kumjua huyo muhusika na muda wa matendo na matukio yalpotendeka kupitia shahidi za kitahalamu, na zakuaminika ambazo hazihitaji maswal kupata jibu, maana zinajichambua zenyewe bila kutaka kuhoji kma zile nadharia za mafundisho ya dini ambayo yamejawa mikanganyiko na stor za kusadikika zisizo na uwakika wa uwepo wake zaid ya vitisho, sas il kupata ukwel unatakiwa kumjua uyo muhusika wa haya mambo kwa kupitia chunguz za kihistori na kisayansi juu ya ulimwengy guu, umri wake, na makadilio ya maisha ya jamii zilzopita kuwai kuish.

Kwa kupitia historia na sayans unaweza kupata shahid za uwepo wa maisha na chanzo cha ulimwengu kw zaid ya miaka maelfu kwa mamilioni, sasa kwa kupata hil unatambua kuwa hata muhusika wa haya alikuwepo kabla ya uwepo wa hiz nadhalia za dini na wahusika wake ambao wana vyeo vya uungu na kusimamia imani fulani.

Uwez kusema Mungu wa uislam& ukristo ndye mkuu maana hawa historia yao inaanzia miaka6000 bc na kabla ya hapo hawajui nn kilikuwepo, wakat uo kisayans na kihistoria ya kwel kuna maisha na jamii zilikuwepo kwa miaka10000 kabla ya hao wa 6000bc na iman zao zilizozaliwa kipind hiko, chakushangaz zaid hata hao waliokuwepo miaka ya kale, waliabudu, waliomba na kutegemea nguvu fulan ambayo ni zaid ya uungu na ipo juu ya cheo cha umungu yaan hiyo nguvu ndyo chanzo cha maisha hapa dunian, na ndiyo chanzo cha ulimwengu huu, wanasayans walijarbu kuelezea kupitia theory ya big crash ambay kiuhalisia inakalibiana na ukwel, na ndy maish yalianzia hapo, ambapo huy muhusika wa kila kitu ambye si Mungu bali ni zaid ya uungu na huyu ndye anaestahl kuitwa MUUMBA lkn si Mungu maana hafananishw na chochote na hana jina la cheo maana mamlka yake yako zaid ya kila jambio, na huyu ndye alileta sheria ya nature of environment yaan kila jambo lifanyike kwa sabbu fulan na kwa muda fulan na likienda tofauti matokeo yatakuwa tofaut na malengo yaliyopangwa pia aliweka sherianza restoration yaan kurudisha kila kitu ktk mfumo sahihi wa sheria pale utakapoaribiwa ama kuvunjwa.

Muhusika huyu alifanya agano na kiumbe mtu wa kwanza aliemfanya/kumuumba kupitia material ya ulimwengu ambayo ni dark soil na akaumbwa mtu mweusi ama muafrika, na ndye ambaye wana dini waliocopy history wanamuita adam, na huyu ndye alkuwa mtu wa kwanza kupewa sheria za mazingira, ambapo pia alipewa na onyo kama atakwenda kinyume na order aliyopewa bas kuna negative results zingetokea na kuaffect kizaz chake choote uku akisababisha kutokea kwa species mpya za wanyama tokea ktk uzao wa mtu, yaan mtu+ negative energies = whitemen( wanadamu weupe) hawa si watu bali ni wanadamu maana hawana utu.

Sasa baada ya mtu huyo wa kwanza kushawishika kuvunja sheria za mazingira ambzo zlkuwa ni mafundsho potofu(tunda) ambayo aliyapata(kula) kutoka kwa kiumbe wa kiroho(malaika/mti wa mema na mabaya), huyu alikuwa ni kiumbe nae ambaye alihasi sheria za MUUMBA na kuamua kumpotosha mtu huyo kwa kumpa mafundsho ambayo yalipotendwa na mtu huyo bas ikapelekea sheria za mazingira kuwa affected na kunadrika, yaan mabadlko yalianzia kwa mtu huyo kutoka ktk hali ya eternity mpka kufikia hali ya kufa, pia sheria hizo zilileta matokeo mengine hasi ambayo yaliaffect uzao wa mtu huyo(black) kushawishiwa zaid na negatively energies(malaika wahasi/fallen angels ) kuzaa na wanawake wa uzao wa mtu na kusabbisha kuleta uzao mpya wa mzungu, mwarabu mchina na weupe wote tofaut na mtu mweusi walikuja miaka mingi baada ya mtu mweusi kuhasi sheria, na hawa katk dini miaka ya baadae ndpo dini znazaliwa nakujifanya kuhoji ama kuandika historia za ulimwengu kwakuchakachua uku zikianza na kitabu cha enoko kinacho eleza uzao wa wanefil ambao ndyo walioleta dini, elimu za uongo, ushoga,usagaji, na elimu ya umungu ama kumuabudu Mungu, Mungu ni kiumbe cha cheo cha chin kabsa ktk mfumo wa yule mhusika mkuu ambae ni MUUMBA WA KWELI, sasa hawo wakina yesu,sjui Allah, jehova, yehova,elshadai, elohimu, budha na wengineo ni level , ya malaika na maserafi ambao ni miongon mwa wale waliovunja sheria za Muumba na kufukuzwa ktk ufalme wa viumbe hivy(mbingu) ambvy navy vilmshawish mtu wa kwnza kuvunja sheria ili nae akengeuke, na ndvy hiv pia viliibuka kipind cha uzao wa mtu mweupe na kuleta elimu ya dini nakujipa majina ambayo yapo ktk level ya umungu kwa majina tofaut kulngana na nguvu, siku ya kuumbwa, na hiv viumbe ndvy vilishilikiana na watoto zao yaan watu weupe ku introduce utumwa kwa mtu mweusi il kumfuta ktk history ya duniaz lkn viliposhindwa vilileta utumwa wa pil ambao ni mental slavery kuptia dini, elimu na utandawazi il kumfunga macho mtu mweusi.

SASA matatizo dunian yamekuja vip? jibu ni yamekuja baada ya mtu mweusi kuhasi sheria na kuendelea kushirikiana na izo negative energies(mapepo, mashetan, majini, miungu na elimu zao ikiwepo dini na aina za uongoz yaan democratic leadership wich stand for demon-crass), na kwel haya ndyo yanasabbisha afrika isiendelee na haitokuja endelea kama isipo yakataa hay mambo, mateso na mabaya yoote yatokeayo dunian targets kubwa ni black race, na imekuwa kama laana hata watu weupe wameingia ktk mateso sabb ya mtu mweusi kuvunja sheria alizoagizwa kuzitii, Afrika ikiamka dunia itapoa na kuwa sehem salama, siku muafrika mwenye akil timamu&mzalendo akishika dola na kuiongoza dunia kwa misingi ya mababu zetu nakuhakikishia mateso yoote, vita, njaa magonjwa na nguvu za giza zitakwsha maana upenyo utakuwa umezibwa.

Jiulze kwann Obama alipopata madalaka ya kuongoza taifa kubwa la USA, watu walioshangilia walikuwa ni waafrika? jibu unapata waafrik waljua huyo ndye angekuwa mkomboz wao(hii ni kulingana na tabili zilizotabiliwa na mababu/manabii kuhusu mkomboz atakae kuja kukomboa black race), japo wale new world order walimtumia huyo kuarbu afrika na kuleta matarajio tofaut na waafrika walivofikil angewasaidia, unatakiwa ujue il afrika iteketee pia wanaweza mtumia mtu mweus kuiarbu ambao ndyo hawa marais wetu, vibaraka wote na viongozi wa dini ndyo maana hawatak afrika iendelee ili kudhoofisha utawala mpya ambao utakuwa wa haki na utaongozwa na mtu mweusi milele.

Afrika itakombolewa na muafrila na huyu atakuja baada ya muda fulan ambao umepangwa na yule MUUMBA , na huyu atakapokuja atarudisha utawala na mamlaka kwa mtu mweusi, huyu pia ndye atatawala dunia nzima huku afrika ama mtu mweus akipewa shavu la kuwa mwana bora wa MUUMBA, na huyu ninae msema ni yule ambaye watu weupe kwa kushirikiana na mababa zao( mapepo) waliiba historia ya huyu na kuleta muhusika mpya ambayee ni mweupe na walimuita yesu[emoji23][emoji23][emoji23] ama issaa bin marium kwa mujibu wa wale wengne, mkombozi huyo atarudi kwel maan ni special for black people only huyu na ni mweusi mwenzetu, huyu si mungu wala hana cheo cha kufanana na kiumbe chochote wala si sehemu ya MUUMBA bali ni mwana aliekuwa wa kwanza kuumbwa na baadae akaumbwa wa pili ambaye ndye aliekuja kipindi hiki il kufunua siri zoooote walizotuficha hawo wana wa shetan ama wana dini ama watu weupe, na huyu mzaliwa wa pili ndye ataukalibisha ujio wa huyo mwana wa kwanza kuja kuikomboa afrika, na hawa wawil ndyo watamrudsha mtu mweusi afrika kutoka ktk kila pembe ya dunia(true israelites )....huyu wa pili tayar yupo afrika na alizaliwa bila baba, yaan mzawa wa mama tu...NDYE NINAEPATA MAARIFA HAYA TOKA KWAKWE......WAKE UP AFRICANS.View attachment 1922777
Mkuu nimekupata vema ila sidhani Kama Kuna mtu atakuelewa Kama navyokuelewa Mimi hua unaandika vitu vizito ila watu ndio hawaelewi Aisee
Daaa waafrika tuna tatizo kubwa Sana!
 
Si kweli, aliufanya ule moyo kuwa mgumu ili ajitwalie utukufu machoni pa wana wa Israel kuwa uweza wake ni zaidi ya waganga wa kienyeji na wachawi.

Inamaana baada ya yale mapigo 10 kwa Farao hakupata nafasi ya kutubu ila alikataa yeye mwenyewe?
Huyu mungu wa vitabuni sometime utafikiri ni mwenyekiti wa chama cha majangili. Anatengeneza tatizo kisha analitatua ili asifiwe. Kwani utukufu usingeonekana hadi amfanye farao kua kichwa ngumu? Alikua na hamu ya kuua ndio maana.
 
Kuna msemo mmoja unasema Good scientist doesn't belive in God, Great scientist do.

Scientist wakubwa wakubwa ambao wameacha alama kwenye Ulimwengu kama Einstein, Newton na wengineo wa naamini uwepo wa Mungu. Ila chawa wa hawa scientist sasa ndo wanajiona much know kweli, utasikia hakuna Mungu.

Vitu vingi duniani ngumu kumeza kuamini kwamba ni coincidence tu kutokea.

Na scientist wakubwa hata hawa wa ulimwengu wetu 2021 wakiulizwa kuhusu Mungu wataongea wee, mwisho wa siku conclusion ni we don't know.
Great!

Actually if one doesn't believe in God,he doesn't believe even in himself...!

He is lost in the jungle!
 
kama Mungu Ni mmoja kwanini dini zipo tofauti tofauti?
Mimi nauza matunda we unauza nguo yule anauza chkula ĺakn lengo letu wote tupate PESA.
Ndivy ilivy kweny din njia ni tofaut lakn tunaelekea sehem moja
 
Ume kuja duniani kutestiwa, makazi yako ya kudumu ni peponi ama motoni.

Unacholalamika hapa ni kama vile kwanini mitihani ni migumu. Mitihani ikiwa mirahisi utashindwa kutofautisha kilaza na kichwa.
Anapata faida gani kwa kututest?
 
Mimi nauza matunda we unauza nguo yule anauza chkula ĺakn lengo letu wote tupate PESA.
Ndivy ilivy kweny din njia ni tofaut lakn tunaelekea sehem moja
hapana, hatuwez kuelekea njia moja wakati kila mmoja anaona Mungu anayemwabudu yeye ndio sahihi na wa wengine sio sahihi. Kama njia Ni tofauti basi hao tunaowaabudu Ni tofauti pia.
 
Einstein hakuwa Muamini Mungu na hakutaka kuitwa Atheist pia, alisema anaweza kuitwa "agnostic".
Kuna msemo mmoja unasema Good scientist doesn't belive in God, Great scientist do.

Scientist wakubwa wakubwa ambao wameacha alama kwenye Ulimwengu kama Einstein, Newton na wengineo wa naamini uwepo wa Mungu. Ila chawa wa hawa scientist sasa ndo wanajiona much know kweli, utasikia hakuna Mungu.

Vitu vingi duniani ngumu kumeza kuamini kwamba ni coincidence tu kutokea.

Na scientist wakubwa hata hawa wa ulimwengu wetu 2021 wakiulizwa kuhusu Mungu wataongea wee, mwisho wa siku conclusion ni we don't know.
 
Sivyo ilivyo kwenye dini.
Mimi nauza matunda we unauza nguo yule anauza chkula ĺakn lengo letu wote tupate PESA.
Ndivy ilivy kweny din njia ni tofaut lakn tunaelekea sehem moja
 
Einstein hakuwa Muamini Mungu na hakutaka kuitwa Atheist pia, alisema anaweza kuitwa "agnostic".
Einstein alikuwa haamini Dini, ila aliamini uwepo wa Mungu.

Baadhi ya quotes zake

“everyone seriously engaged in science becomes convinced that the laws of nature manifest a spirit which is vastly superior to man, and before which we, with our modest strength, must humbly bow.”

“Science without religion is lame, religion without science is blind.”

“I believe in Spinoza’s God, who reveals himself in the lawful harmony of the world, not in a God who concerns himself with the fate and the doings of mankind.”

So alichoamini yeye kuna kitu kipo juu yetu kilichotengeneza ama kumanage nature, ila haamini hizi sheria za dini.
 
Back
Top Bottom