ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
Ok sawa..Hapa umemuacha mbali mkuu
SingleUmeolewa?
Zinagatia mlo mzuri utapona.. achana na wanga na sukari badala ya ule proteins na mboga za majani! Usile asubuhi Anza kula saa5 asbh na usiku kula kabla ya saa1 Fungus zitaponaze zenyewe bila hata kutumia dawaHuu mwaka fungus zimenishambulia mara2 mpk nikahisi labda nina HIV nikaenda kupima niko fresh
Nilikuwa nawashwa sana nimetumia Dawa inaitwa Gynex pessary unaingiza vidonge huko chini siku 7 tu niko fresh now… sina hizo dalili tena
Kinachoniumiza saivi kila nikimwagiwa shahawa nasikia uchungu hali ya kuungua kama dakika kadhaa hivi au mpk ninawe ila nikitumia kinga sisikii hayo maumivu,, Hii hali imeanza miezi 4 sasa
Na kingine kila tunavyoanza napata maumivu sana kama vile ndio natolewa bikira yaani uume unapita kwa mbinde sana hata niloane vipi.. nakuwa Kama nakandamizwa.. Hii hali ni endelevu tangu nianze sex
Hiyo hali inanifanya mpk niogope kurudia round tena maana mwenzangu anapotaka tena nawaza kuanza upya kuingiza maana njia inafunga tunaanza kuvutana na maumivu mpk hisia zinakata
Japo ikishaingia tu maumivu sisikii ila mwanzoni nasikia uchungu
Nataka nijaribu tiba lishe hawa madaktari nasikia Dawa zao ni nzuri na uhakika ila sijui niende wapi maana ni wengi kila mtu anavutia kwake
SAwasorry naweza kukupm maana kuna vitu nashindwa kuelezea hapa maana Watu wanahisi natania
Single
Huu mwaka fungus zimenishambulia mara2 mpk nikahisi labda nina HIV nikaenda kupima niko fresh
Nilikuwa nawashwa sana nimetumia Dawa inaitwa Gynex pessary unaingiza vidonge huko chini siku 7 tu niko fresh now… sina hizo dalili tena
Kinachoniumiza saivi kila nikimwagiwa shahawa nasikia uchungu hali ya kuungua kama dakika kadhaa hivi au mpk ninawe ila nikitumia kinga sisikii hayo maumivu,, Hii hali imeanza miezi 4 sasa
Na kingine kila tunavyoanza napata maumivu sana kama vile ndio natolewa bikira yaani uume unapita kwa mbinde sana hata niloane vipi.. nakuwa Kama nakandamizwa.. Hii hali ni endelevu tangu nianze sex
Hiyo hali inanifanya mpk niogope kurudia round tena maana mwenzangu anapotaka tena nawaza kuanza upya kuingiza maana njia inafunga tunaanza kuvutana na maumivu mpk hisia zinakata
Japo ikishaingia tu maumivu sisikii ila mwanzoni nasikia uchungu
Nataka nijaribu tiba lishe hawa madaktari nasikia Dawa zao ni nzuri na uhakika ila sijui niende wapi maana ni wengi kila mtu anavutia kwake
Dr Mimi Hakuna nachoelewa Naona flora sijui koloni…Ok sawa..
Ni kwamba Kwa Maelezo yake Inaonekana Kuna Mazingira yasiyo Rafiki kwa Bacteria Wasio na Madhara (Normal flora) Kuishi Ambayo yanasababisha kuwepo kwa Fungus na Kuharibu PH Ukeni na ndo maana anapata Maumivu..
Sasa Ili kutibu tatizo Sio kutumia Viua Bacteria/Viua sumu (Antibiotic) maana Utazidi Kuondoa ila Ecology na Utakuwa u a wa Wash hata Bacteria ambao hawana madhara..
Kwa Mfano kwa Wanawake Matumizi ya Antibiotic, Viua sumu au Kuosha Sehemu za Siri mara kwa Mara na Kwa Kutumia Medicated au Sabani au Hata marashi au Perfumes Huchangia Kuua Normal flora yaani Bacteria wasio na Madhara Kwenye Sehemu husika..
Na Bacteria wakipungua Au wakiondoka Basi Fungus Aina ya Candida albicans huanza Kutawala Hilo koloni na Mwisho wa Siku lazima Apate Fungus isiyoisha..
Sasa Njia salama Sio kuua tena Bacteria waliobaki kwa Kunywa mi Antibiotic , Ila Suluhisho ni Kuintroduce Lactobacillus Ambao Ni normal Flora Kuchukua Koloni lao na Kuondoa Fungus as Well kurudisha Ph..
Kuintriduce Bacteria ili.kubalance Ecosystem ya Kwenye Vagina Ndo Huitwa Probiotic kama Ulikuwa unalizia Kuhusu Hilo..
ASante
Hapana siifahamu ni Dawa inatibu nini na Bei gani nijaribu kutumiaUmewahi kutumia Griseofulvin ?
DuuhDada yangu, Kwa Nini unakuwa na mahusiano baada ya hayo yote kwa haraka? Focus na afya yako, actually huyo mwanaume ndo anakurudisha kwenye maambukizi, please stop, una thamani zaidi ya hizo sex kwa sasa!
Ni antifungalHapana siifahamu ni Dawa inatibu nini na Bei gani nijaribu kutumia
Ni ya kunywa ama kuweka chiniNi antifungal
Bei yake kidonge kimoja ni shilingi 700 hadi 1000
Mimi kuvaa chupi mpk nitoke huwa sivai nikishinda nyumbaniKazana na mtindi Kila siku pata glass Moja kua mkavu mda wote na msafi usilale na chupi
AmenMungu akubariki upone mapema na uludi mchezon haraka
Ndugu nitanenepa kweli kg 50 sasaZinagatia mlo mzuri utapona.. achana na wanga na sukari badala ya ule proteins na mboga za majani! Usile asubuhi Anza kula saa5 asbh na usiku kula kabla ya saa1 Fungus zitaponaze zenyewe bila hata kutumia dawa
Nenda hospital wakuchukue high vaginal swab kwaajili ya culture and sensitivity halafu watakupatia dose ambayo itakutibu pia fanya na hormonal profile pole sanaaHuu mwaka fungus zimenishambulia mara2 mpk nikahisi labda nina HIV nikaenda kupima niko fresh
Nilikuwa nawashwa sana nimetumia Dawa inaitwa Gynex pessary unaingiza vidonge huko chini siku 7 tu niko fresh now… sina hizo dalili tena
Kinachoniumiza saivi kila nikimwagiwa shahawa nasikia uchungu hali ya kuungua kama dakika kadhaa hivi au mpk ninawe ila nikitumia kinga sisikii hayo maumivu,, Hii hali imeanza miezi 4 sasa
Na kingine kila tunavyoanza napata maumivu sana kama vile ndio natolewa bikira yaani uume unapita kwa mbinde sana hata niloane vipi.. nakuwa Kama nakandamizwa.. Hii hali ni endelevu tangu nianze sex
Hiyo hali inanifanya mpk niogope kurudia round tena maana mwenzangu anapotaka tena nawaza kuanza upya kuingiza maana njia inafunga tunaanza kuvutana na maumivu mpk hisia zinakata
Japo ikishaingia tu maumivu sisikii ila mwanzoni nasikia uchungu
Nataka nijaribu tiba lishe hawa madaktari nasikia Dawa zao ni nzuri na uhakika ila sijui niende wapi maana ni wengi kila mtu anavutia kwake
===========
Maoni ya mdau
Hivi huwa wanao zamia wanapata madhara ganiNa utakuta kuna mwamba anaizamia chumvini
Usijiweke kwenye denial mode sana, kwa wanawake maumbile yao fungus ni kawaida tu na pia sio Kila fungus ni wabaya,mfano maziwa ya mtihdi ili yawe mtindi yanahitaji fungus!!Dr Mimi sijawah umwa fungus tangu nizaliwe.. huu mwaka ndio nimeumwa mara ya kwanza nikahisi labda kwasababu ya condom nikaacha ila sasa ndio kuungua na uchungu ndio vimenianza