Hakuna raha tena ya sex kwa sababu ya fungus

Usijiweke kwenye denial mode sana, kwa wanawake maumbile yao fungus ni kawaida tu na pia sio Kila fungus ni wabaya,mfano maziwa ya mtihdi ili yawe mtindi yanahitaji fungus!!
Vipi sasa kuhusu hayo maumivu nayopata baada ya kumwagikiwa shahawa ama wakati wa penetration
 

Mstaafu wa Saadani na Pangani umetoa elimu kubwa sana hapo kwa wadda na hata inaweza kua msaada kwa wanaume kwani mwanamke akiadhirika huko down town mdhara ni kwa wote.

I wish uelezee zaidi tiba ya probiotics na jinsitu anaweza kufanya ama kuipata,maana naona ndio suluhu ya mambo mengi!!
 
Nenda hospital wakuchukue high vaginal swab kwaajili ya culture and sensitivity halafu watakupatia dose ambayo itakutibu pia fanya na hormonal profile pole sanaa
Nimeshafanya hayo madawa nayopata hayanisaidii
 
Eti kadogo2 umeelewa?
 
Hizo ky hazina madhara
 
Zaylisa wa JF
 
Sasa hapo mwamba anakukojolea so ndio unamuambika naye anakuambukiza upya inakua mzunguko, tulia upone kwanza.
Sasa mkuu nitatumiaje Dawa huku nafanya sex
Nilijitibia mpk nikamaliza dozi
 
Ooh Proffesor wa Kipumbwi Mzee wa Jodari na Mijisehewa😀😀

Probiotics Mara Nyingi zinauzwa kwenye Mapharmacy makubwa Ila Ni mpaka Uandikiwe na Gynacologists maana Ni nzuri ila Ni hatari kwa wale ambao Kinga yao Haiko Vizuri maana Inaweza kusababisha Bacteremia..

Japo Kuna vyakula Kabisa Ambavyo vinaweza Kutumika Mbadala wa Hizo dawa Watu wa Nutrition wanaweza Kusaidia kama Megalodon ni mtalaam sana wa Maambo hayo
 
Ulitakiwa ulipomaliza dozi ukacheki kabla ya mzagamuo
Mkuu dozi nilitumia siku 7 nikakaa mwezi Mzima bila sex.. kwakuwa zile dalili zote sikuziona nikajua nimepona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…