Hakuna raha tena ya sex kwa sababu ya fungus

Hivi huwa wanao zamia wanapata madhara gani
Kukutana na uchafu kama hivi,wewe dawa aliyokesha mwezi maabara mzungu kuitengeneza mpaka ikaitwa dawa inadunda kutibu halafu wewe na ulimi wako soft unatia kinywa pale unadhani kitatokea nini?
 
Njoo utoe ushauri huku Ma Mshuza
 
Ndio maana sipend kula utamu wa mtu mgeni kwangu lzm nikujue jue hivi😁
 
Sasa nikikonda na maradhi yataninyemelea kila kitu kiwe kwa wastani…
Ukinenepa maradhi ndo hayawe kukunyemelea? Skia kua mnene ndo sio sawa kua mwembamba pia. Chamsingi kua fit na kua na afya njema!
 
Ukinenepa maradhi ndo hayawe kukunyemelea? Skia kua mnene ndo sio sawa kua mwembamba pia. Chamsingi kua fit na kua na afya njema!
Nimeambiwa sitakiwi kuwa chini ya kg52 mkuu nikianza diet nitafika 40
 
Pole sana
Nenda kwa dr akapime shingo ya uzazi
Jamaa yako ni mnyakyusa ?Maana sisi tuna mizigo ya haja tukiingiza lzm uumie
 
Mkuu
Punje ngapi maana vinawekwa kwenye pakit za 100
Pka kama chai iwe kali itafaa zaid ,

Ukiweza pia weka kiasi cha kiganja chako kimoja na robo kwenye chupa ya maji lita 1½ (maji safi hali joto ya kawaida) loweka kwa 24/48hrs uwe unapga nayo sambamba na kuonyesha mzgo ndan ya wiki mambo laivu ,utamu utapata laivuu
 
Sawa ngoja nikanunue za jumla
 
Nimeambiwa sitakiwi kuwa chini ya kg52 mkuu nikianza diet nitafika 40
Unakitambi? Ukiruka nyama zako zinanesanesa? Na mm sizungumzii diet nazungumzia kula vyakula HALISI, kula proteins kula healthy fats, huwez pungua unavosema Bali utamaintain uzito sahihi unaotakiwa kua nao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…