Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

Mkuu 'Allen Kilewella'; hivi kweli una hakika hututoi kwenye reli wakati huu na mada ya aina hii?

Usinielewe visivyo, sisemi kuwa mada yako si sahihi; lakini lengo lake kwa wakati huu ni lipi hasa?

Pengine labda ingependeza, kama mada ingejikita kwenye hizi tawala na HAKI za wananchi wao!

Tunajuwa nyakati ni tofauti, lakini nadhani kwa mtu mwenye mawazo huru angeweza kuona kuwa mTanzania wa wakati huo wa Mwalimu, pamoja na kuwa na chama kimoja cha siasa, alikuwa HURU na HAKI zaidi ya huyu wa leo; pamoja na kuwa huyu wa leo amekuwa nazo fursa za kupata elimu pana zaidi ya kujuwa UHURU, na HAKI zake; vitu muhimu zaidi kupigania haki zake.

Sasa unatupeleka kwenye viwanda, wakati 'critical' kama huu tusahau kabisa hata hilo tegemeo dogo la "NORNOE"?

Hili na mengine tuyafanye lini, au ndiyo tumekwisha salimu amri kimoja?
 
Kati ya hawa Marais hakuna rais hata mmoja aliyefikia viwango vyq Julius Kambarage Nyerere kwenye nyanja mbali mbali kuanzia uchumi, demokrasia, diplomasia, na maendeleo ya jamii.
Sijasoma 'comments' nyingi zinazofuatia, lakini naona umefanikiwa vizuri sana kuwachanganya akili wasomaji wako.

Tunayo hatari kubwa zaidi inayo tukabili sasa hivi kuliko kuanzisha ubishi wa namna hii!
Hii ni kama kujihusisha na 'luxury' wakati huu tukijuwa yanayokuja ni magumu zaidi kwa kila mmoja wetu..
 
Uchumi alifanya nini?
Aliacha viwanda na mashirika ya umma zaidi ya 400.

Aliacha shilingi ya Tanzania, $1= Tsh 9.

Hakuchimba madini wala kuuza ges. Hakuuza hewa ukaa (Carbon).

Alie.desha nchi kwa mazao ya kilimo, Korosho, Mkonge, Pamba, Tumbaku.

Watu waliaoma bure mpaka vyuo vikui, wakapewa sabuni, na mikate bure.

Kwa wakati huo, it was the BEST.
 
Huyo unae sema hajafikiwa kwa viwango ni kweli maana ndio alie tuletea uozo na matatizo tuliyo nayo
 
Katika marais wa ovyo waliweka misingi mibovu inayotukosti hadi leo ni huyo babu yenu mchonga
Shida yako umekaa zako Sinza unakunywa visungura, ukitegemea kila kitu angemaliza Mchonga.
 
Shida yako umekaa zako Sinza unakunywa visungura, ukitegemea kila kitu angemaliza Mchonga.
Mzee alikua mlafi sana wa madaraka ,ametengeneza likatiba bovu kwa maslahi yake ,amefanya taifa kua la mazwazwa wajinga ma machawa tu
 
Sawasawa
 
Mzee alikua mlafi sana wa madaraka ,ametengeneza likatiba bovu kwa maslahi yake ,amefanya taifa kua la mazwazwa wajinga ma machawa tu
Yeye alimaliza mwaka 1985.

Wewe unafanya lip, au ulitaka amalize kila kitu.

Katiba ni maandishi tu, mtawala mwenye roho mbaya anaweza kufanya chochote.

Hiyo hiyo katiba mbovu hakuna sehemu inasema watu watekwe, wauawe, wapigwe rungu ila wanasiasa wanafanya.

Hiyo katiba ya sasa inavunjwa, hiyo mpya utailinda wewe??

Hata hapo Kenya wana kaiba wanayoita ni bora ila inasaidia nini?

Wewe unasaidiaje?
 
Santino, mama yako wala hakupigiwa kura, aliambiwa amalizie ngwe ya awamu ya tano akajipachika ati awamu ya Sita, awamu zinapigiwa kura, sasa kan'ang'ania awamu sisui ya ngapi. Anavuruga kila kitu
hizo dhana nonsense ni useless gentleman,
Dr Samia Suluhu Hassan ataendelea kuwatumikia waTanzania wote kwa mujibu wa katiba upende usipende πŸ’
 
Huyu mamako kilaza ndio the worst ktk wote kiuongozi!
Hata elimu yake ndio magumashi kuliko wote!
Tukiacha Elimu yake ya Masters unayoita magumashi.

Tulinganishe miaka 20 ya Nyerere failure wa Kila kitu vs miaka 4.5 ya Samia yupi amefanya vitu vya kuonekana?

Toka Tanzania imeanza hakuna Rais Bora aliyeleta delivery na Mageuzi makubwa kama Samia na Mwendazake
 
Unaifajanisha tz na kenya upo sawa kweli...? Hapo tz mtu anatekwa mbele ya wananchi na mazwazwa yapo yanaangalia tu na haya wezi kudai uhai wa mwenzao. Punguza mhaba ya kichawa
 
Unaifajanisha tz na kenya upo sawa kweli...? Hapo tz mtu anatekwa mbele ya wananchi na mazwazwa yapo yanaangalia tu na haya wezi kudai uhai wa mwenzao. Punguza mhaba ya kichawa
Wewe **** unadhani Kenya hakuna utekaji??

Zuzu la mazuzu.

Unadhani mwanasiasa akiamua kuteka anazuiwa na mtu.

Huko Kenya ambako juzi, wameua mtu kituo cha polisi?

Wanaua watu wanatupa mtoni??
 
Ukweli ni kwamba nchi hii imewahi kuwa na marais 2 tu..awamu ya 1 na 3 tu.
ZAidi ya hapo..
Awamu ya 2 ilikuwa hewa
Awamu ya 5, mwizi na mtalii
Awamu ya 5 ni kiongozi wa genge la watekaji na wauaji.
Awamu ya 6, ni kiongozi wa machawa, Yezebel, na mwenyekiti wa vikoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…